Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
000_1GW5L2.jpg

Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data.

Humpendi lakini bado unajilazimisha kupita kwenye daraja alilosimamia. Huoni kama unajiumiza.
Screenshot_20240617_192100_YouCut - Video Editor.jpg
 
Magufuli ndio alijenga kwa pesa zake ??

Yaani kijana mdogo na msomi umeamua kuwa Lumumba buku 7??

NAMEUBUNGO INTERCHANGE
LENGTH (km)
SIGNING DATE22/02/2017
CONTRACT SUM (Bil)177.42
CONTRACTORCCECC
CONSULTANTDASAN
FINANCIERWORLD BANK
STAGEDesign

Yaani achilia mbali Magufuli mnayemsifia hata sio watanzania waliojenga!

Akili zako hazitumiki sawasawa! Kabla ya JPM kulikuwa na viongoz walifanya nn???
 
Kuwa kiongozi imara mwenye mawazo chanya kwa taifa lako hilo ni jambo kubwa sana. Magufuli hapo ndio alikonga nyoyo za Watanzania wengi, na wengi wameona thamani yake baada ya kuondoka, na asilimia kubwa huwa iko hivyo.

Fedha alizo tumia ni za Watanzania kwa ujumla tena nilimsikia akisema fedha zote za mradi huo zimetoka kwa watanzania bila ya kukopa ata shilingi mia moja. Kwahiyo unaona kabisa alisimamia vizuri kuweza kuleta mambo chanya kwenye taifa letu.
Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
 
Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Jiwe ndiyo mtu wa hovyo kuliko wote waliowahi kupewa madaraka ya urais nchi hii:-
1. Alikuwa mporaji, mtekaji, muuaji na mpiga watu risasi.
2. Aliunda kundi la watu wasiojulikana lililokuwa linaua na kuteka watu.
3. Alikuwa muuaji wa uchumi wa nchi kwani alikuwa anapigana kufa kupona ili kuua sekta binafsi
4. Hivyo vidaraja unavyoviita flyover ni ushubwada tu ukilinganisha na mauaji ya watu
5. Alikuwa hapendi demokrasia. Alizima internet siku ya uchaguzi, aliwachukia wapinzani na upinzani na akawafukuza nchini wapinzani. Mshenzi sana yule.

Usinichoshe yanatosha kwa sasa
 
Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaounakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Na wewe kama una mpenda Magufuli Acharya kupumuwa umufuwate huko aliko. Magufuli kama kuna kitu kizuri alicho kifanya ulikuwa wajibu wake kwani yeye alikuwa analipwa na walipa kodi kwaajiri ya kufanya mazuri.
 
Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Shida nini mkuu siku hizi reasoning yako ina plummet? Ni sawa na kusema kwakuwa Nyerere alipinga wakoloni basi akavunje Reli ya kati, akavunje UDSM, akavunje bandari n.k? Ubaya wa JPM ni leadership style sio barabara.

Kwani Mandela kipindi anakataa makaburu hawakuwa wamejenga barabara nchi nzima? Very poor reasoning.

JPM anapingwa kwa udikteta wake kama ambavyo Hitler licha ya maendeleo makubwa aliyowaachia ujerumani, anakumbukwa kwa udikteta wake.
 
Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Back
Top Bottom