Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Alijenga kwa pesa zetu!Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Magufuli nilimpenda sana, ilivyotangazwa amefariki nilishindwa kula na kulala
Kama hazikuwepo, Magufuli alitoa wapi??.Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
| NAME | UBUNGO INTERCHANGE |
| LENGTH (km) | |
|---|---|
| SIGNING DATE | 22/02/2017 |
| CONTRACT SUM (Bil) | 177.42 |
| CONTRACTOR | CCECC |
| CONSULTANT | DASAN |
| FINANCIER | WORLD BANK |
| STAGE | Design |
Kwa mfano Hangaya nitamheshimu kwa lipi!?😡Tuache kudharau viongozi wetu
Muongo sana SIO kidogoMagufuli nilimpenda sana, ilivyotangazwa amefariki nilishindwa kula na kulala
Kujigeuza Chura labdaKwa mfano Hangaya nitamheshimu kwa lipi!?😡
Akili zako hazitumiki sawasawa! Kabla ya JPM kulikuwa na viongoz walifanya nn???Magufuli ndio alijenga kwa pesa zake ??
Yaani kijana mdogo na msomi umeamua kuwa Lumumba buku 7??
NAME UBUNGO INTERCHANGE LENGTH (km) SIGNING DATE 22/02/2017 CONTRACT SUM (Bil) 177.42 CONTRACTOR CCECC CONSULTANT DASAN FINANCIER WORLD BANK STAGE Design
Yaani achilia mbali Magufuli mnayemsifia hata sio watanzania waliojenga!
Infrastructure: Construction of Ubungo Interchange complete by 25 per cent
Construction of the Ubungo Interchange has reached 25 per cent of construction and is expected to be completed by December 2020, the Parliamentary Public Accounts Committee was told today by...www.thecitizen.co.tz
Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Jiwe ndiyo mtu wa hovyo kuliko wote waliowahi kupewa madaraka ya urais nchi hii:-Usipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Na wewe kama una mpenda Magufuli Acharya kupumuwa umufuwate huko aliko. Magufuli kama kuna kitu kizuri alicho kifanya ulikuwa wajibu wake kwani yeye alikuwa analipwa na walipa kodi kwaajiri ya kufanya mazuri.Usipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaounakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Shida nini mkuu siku hizi reasoning yako ina plummet? Ni sawa na kusema kwakuwa Nyerere alipinga wakoloni basi akavunje Reli ya kati, akavunje UDSM, akavunje bandari n.k? Ubaya wa JPM ni leadership style sio barabara.Usipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Usipite na gari lako Kijazi interchange.