zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwahiyo kipindi tunamkejeli kuwa JK alikua fisadi je hakuwa amejenga barabara nchi nzima, hakuwa amejenga terminal 3? Hakuwa ameleta umeme wa gesi au hakuwa amesambaza maji ya ziwa Victoria? Hakuwa amejenga UDOM na mloganzila?Alijenga kwa pesa zetu!
Kwa Tanzania Rais/kiongozi akitumia pesa zetu kwenye maendeleo hiyo ni big step ni bahati kubwa sana
kwasababu wengi wao wanatumia pesa zetu kunenepesha matumbo yao tu!
Usipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊Kodi tulipe sisi na utupangie pa kupita, tuache bana.....kama unampenda kapalilie kaburi.
Maskini gani? Hivi kodi waliokua wanasemehewa matajiri mbona hawakusamehewa wamachinga? Kajengea daraja matajari wa masaki ilihali kuna shule Dar hazina madawati.nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Hayo yoge unayoyasema ni plans za kikwete. Jpm hakuna alivhojenga hata kimoja labda kuteka na kuua tuUsipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Mi nakumbuka nilikunywa cret nzima ya bia siku hiyo kwa furahaMagufuli nilimpenda sana, ilivyotangazwa amefariki nilishindwa kula na kulala
Nipo nafanya jogging Kijazi Interchange juu kabisaNa wewe kama una mpenda Magufuli Acharya kupumuwa umufuwate huko aliko. Magufuli kama kuna kitu kizuri alicho kifanya ulikuwa wajibu wake kwani yeye alikuwa analipwa na walipa kodi kwaajiri ya kufanya mazuri.
Katika utawala wa kidikteta wa Hitler zilijengwa autobahn moja ya miundombinu bora sana ya barabara inayompa dereva uhuru wa kuendesha kwa mwendokasi mkubwa.Shida nini mkuu siku hizi reasoning yako ina plummet? Ni sawa na kusema kwakuwa Nyerere alipinga wakoloni basi akavunje Reli ya kati, akavunje UDSM, akavunje bandari n.k? Ubaya wa JPM ni leadership style sio barabara.
Kwani Mandela kipindi anakataa makaburu hawakuwa wamejenga barabara nchi nzima? Very poor reasoning.
JPM anapingwa kwa udikteta wake kama ambavyo Hitler licha ya maendeleo makubwa aliyowaachia ujerumani, anakumbukwa kwa udikteta wake.
Nililia muda wote tangu alipotangazwa amefariki mpaka kuzikwa kwake, na hata leo ninaporudia kuangalia matukio ya msiba wake, wale wajeda na kina mama, wazee kwa vijana walivyokuwa wakishindwa kujizuia, huwa inanitoa machoziMagufuli nilimpenda sana, ilivyotangazwa amefariki nilishindwa kula na kulala
Uliponunua bidhaa , shilingi kadhaa zilienda kufidia deni la huo mradi hivyo upo sawa kujivunia uliposimama ni kodi yako ila sio kutuletea hadithi za asiyempenda Magufuli asipite hapo.Nipo nafanya jogging Kijazi Interchange juu kabisa
Umaskini siyo sifa, na ukiona mtu anajivunia watu maskini basi ujuwe ndio mtaji wake umaskini hautakwisha."Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Wape wape factsUsipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data
Hao uliowaamini kwa pesa zako walifanya niniKwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Akili hii ni ndogo kabisa!Shida nini mkuu siku hizi reasoning yako ina plummet? Ni sawa na kusema kwakuwa Nyerere alipinga wakoloni basi akavunje Reli ya kati, akavunje UDSM, akavunje bandari n.k? Ubaya wa JPM ni leadership style sio barabara.