Kama kweli Watanzania wenzangu tunaamini kuwa vita yetu dhidi ya Corona ni kama tumeishinda kutokana na kudra za Allah, basi tusiwabeze wenzetu

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Assalam aleikum,

Hivii Watanzania haswa watumiaji wa JamiiForums mnalenga nini haswa? Ni kweli mnasherekea mnapoona Wakenya wanataabika? Uhasimu wa aina hii ulitokea wapi? Wenzetu wanakufa sisi tunasherekea? Vita ya uchumi isituletee laana Kwa taifa zima. Tafadhali tubadilike, ushindani ni mzuri ila tusiruhusu chuki baina yetu

Kama kweli Watanzania wenzangu tunaamini kuwa vita yetu dhidi ya Corona ni kama tumeishinda kutokana na kudra za Allah, basi tusiwabeze wenzetu haswa katika wakati mgumu kama huu. Mungu sio athumani tukumbuke
 
Nadhani wao ndio waliokuwa wanatucheka kwa kutokuweka lockdown, na kukejeli mbinu zilizotumika na serikali yetu.
 
swakid,

Sio Tanzania tu, Africa nzima inafurahia Kenya ikipatwa na majanga, hata Mungu mwenyewe ameamua Kenya ipatwe na majanga, wewe ni nani inayepinga amri ya Mungu?, kwi - kwi -kwi -kwi -kwi.
 
swakid,

Muulize MK254 kwa nini kila siku anaiandama sana Tanzania.

Alafu ww kumbe ni new member,mwanzoni tualiandamwa humu na kutukanwa wa TZ na Magu,mpaka vyombo vyenu vya habari vilikuwa vina ripoti habari za kizushi za Corona kuhusu Tanzania.

Mna njaa,mmeshambuliwa na nzige,mmekumbwa na mafuriko na bado mnajifanya kuweka lockdown yenu ya kisanii,endeleeni alafu ndio mtajua hamna commando mbele ya njaa.

Nyie endeleni kukichonga kinyago ambacho leo kina watisha wenyewe.
 
Ungejua roho za Wakenya juu ya Tanzania, ungebeba nukilia ukawalipue wafe tu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…