CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
8. Mzee Kifimbocheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndo mitaa yako eeh??The place to be... Kula nyama nakuja kulipa
Wewe kiumbe upo sayari ya wapi?Aisee kumbe na mimi ni muhenga... Haiwezekani nakata rufaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji niajeKumbe ndo mitaa yako eeh??
Papaa mwenye kipara chake[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwema shem,habari ya siku nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji niaje
Nipo mjini nduguWewe kiumbe upo sayari ya wapi?
nakumbuka vurugu za zena na betina enzi hizo duuh ulikuwa ukilikosa gazeti la sani basi unanyongeka sana..maana utasikia kijiweni watu wanavyosimulia yalohili katika gazeti....ndumila kuwili nae na mishe mishe zake daaa
Kuna story yake moja alikuwa anakimbizwa na wananchi basi akiwa katika speed ile ya 150kph yaani mguu moja kisigino kinagusa kisogoni na mguu mwingine goti linagusa kidevuni jamaa alinichekesha sana pale aliposema nimewahi kukwepa matone ya mvua sembuse hayo mapanga?
Dar auNipo mjini ndugu
Kwann unakataaAisee kumbe na mimi ni muhenga... Haiwezekani nakata rufaa
Namshukuru Mungu nipo vizuri kabisa...Kwema shem,habari ya siku nyingi