Kama kweli Yanga ana Makombe mengi ya Ligi Kuu atuoneshe

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293

Yanga wanajinadi ni Mabingwa wa Kihistoria mara 28, naomba wapige picha au video fupi ya hayo Makombe 28 ya Ligi Kuu yaliyoko kabatini.

Bila shaka Makombe hayo yote wanayo basi watuonyeshe.
 
Yanga wanajinadi ni mabingwa wa kihistoria mara 28, naomba wapige picha au video fupi ya hayo makombe 28 ya ligi kuu yaliyoko kabatini.

Bila shaka makombe hayo yote wanayo basi watuonyeshee
Nenda jangwani utayakuta
 
Utahira ni mzgo, una simu una mb Kwanini kabla hujaja na ujinga wako ungefanya tafiti ndogo juu hilo. Kama sio yanga basi tuambie ni timu gani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…