Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda jangwani utayakutaYanga wanajinadi ni mabingwa wa kihistoria mara 28, naomba wapige picha au video fupi ya hayo makombe 28 ya ligi kuu yaliyoko kabatini.
Bila shaka makombe hayo yote wanayo basi watuonyeshee
Tufanye Simba jike ndo ana makombe mengi...
Yanga wanajinadi ni Mabingwa wa Kihistoria mara 28, naomba wapige picha au video fupi ya hayo Makombe 28 ya Ligi Kuu yaliyoko kabatini.
Bila shaka Makombe hayo yote wanayo basi watuonyeshe.
Naunga mkono hoja 👍👏Tufanye Simba jike ndo ana makombe mengi...