Kama Lakini Una Moyo.... Nenda Kamchukue Mbuzi Wako

Kama Lakini Una Moyo.... Nenda Kamchukue Mbuzi Wako

sasa leo tunataka uendeshee hii pikipiki mpaka mafuta yaishe."
Jamaa wakamjazia full tank wakamwambia azunguke uwanja mpaka mafuta yaishe ndio aende zake.
Hao wajeda wanahuruma sana..!
Lazima wauone ufalme wa mbingu.
 
Jeshini kuna adhabu za kukomoana mkuu...!
Huyo mwenye mbuzi, awaachie tu hao wanajeshi wamfanye huyo mbuzi kitoweo.
Ila kama yupo tayari kufuata mbuzi wake, awe pia tayari kupewa hizi adhabu
  • Kubeba dunia
  • Kupiga simu
  • Kunyonya mafuta

waliopitia JKT wanaelewa nazungumzia nini hapo.
Hayo siku hizi yamepungua, elimu imesaidia
 
Back
Top Bottom