Kama lawama ni mashindano Yanga wapewe ubingwa wao.

Hii ya Masau Bwile kuomba radhi kwa Timu nyingine kama wewe unaona ni la kawaida?
 
Yaani hapo ndo ulipoonesha uongo wa hali juu, Mo ni wa ngapi kwa matajiri vijana Africa, Au huo utafit mmefanyia pale Kwenye bwawa lenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ambao huwa hamhongi mnabeba ubingwa kihalali mmewahi fanya lipi la kukumbukwa huko CAF???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu siku hizi inalalamika mfano hakuna, kila ikipatwa na dhahama Simba kwao anahusika. Hakuna jema kwao kila kitu lawama.
Wazee wa kupuliza madawa aka mikia fc

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…