Kama leo hii akina Humphrey Polepole wanajificha hakuna aliye salama chini ya serikali ya CCM

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Humphrey Polepole ametoka kuwa statesman; mkuu wa wilaya, mwenezi wa CCM, mbunge, na balozi hadi kuwa mtu wa kuongea kwa kificho na mkimbizi wa nchi yake sasa hivi.

Polepole hana uhakika na usalama wake na sasa amekuwa kama panya anayechungulia kutoka shimoni kwa umakini na wasiwasi mkubwa yumkini akawepo paka wa kumtafuna.

Hakuna aliye salama chini ya serkali isiyofuata misingi ya utawala bora, hakuna, hata mwenyekiti hofu kubwa aliyonayo ni wenzake ndani ya mtandao wa chama.
 
iko siku hadi walioko madarakani sasa hivi watajificha
 
Humphrey Polepole ametoka kuwa statesman; mkuu wa wilaya, mwenezi wa CCM, mbunge, na balozi hadi kuwa mtu wa kuongea kwa kificho na mkimbizi wa nchi yake sasa hivi.

Polepole hana uhakika na usalama wake na sasa amekuwa kama panya anayechungulia kutoka shimoni kwa umakini na wasiwasi mkubwa yumkini akawepo paka wa kumtafuna.

Hakuna aliye salama chini ya serkali isiyofuata misingi ya utawala bora, hakuna, hata mwenyekiti hofu kubwa aliyonayo ni wenzake ndani ya mtandao wa chama.
Never swim against a current.
 
Kuna aliyemtafuta Pole Pole akamkosa Hadi udai amejificga?

Basi tuseme, ana kesi yoyote court, umepewa hati yake umpelekee ukamkosa Hadi udai anefichama?

Karibu 🙏
 
Hiyo inanifunza mimi kama muhuni kua kama polepole aliekuwa kwenye system anajificha hivyo..je mimi lofa ni nani mpaka niguse au niingilie mambo ya wakubwa..???
Utaendelea kuwa lofa tena lodi lofa.
 
Back
Top Bottom