iko siku hadi walioko madarakani sasa hivi watajifichaHumphrey Polepole ametoka kuwa statesman; mkuu wa wilaya, mwenezi wa CCM, mbunge, na balozi hadi kuwa mtu wa kuongea kwa kificho na mkimbizi wa nchi yake sasa hivi.
Polepole hana uhakika na usalama wake na sasa amekuwa kama panya anayechungulia kutoka shimoni kwa umakini na wasiwasi mkubwa yumkini akawepo paka wa kumtafuna.
Hakuna aliye salama chini ya serkali isiyofuata misingi ya utawala bora, hakuna, hata mwenyekiti hofu kubwa aliyonayo ni wenzake ndani ya mtandao wa chama.
Never swim against a current.Humphrey Polepole ametoka kuwa statesman; mkuu wa wilaya, mwenezi wa CCM, mbunge, na balozi hadi kuwa mtu wa kuongea kwa kificho na mkimbizi wa nchi yake sasa hivi.
Polepole hana uhakika na usalama wake na sasa amekuwa kama panya anayechungulia kutoka shimoni kwa umakini na wasiwasi mkubwa yumkini akawepo paka wa kumtafuna.
Hakuna aliye salama chini ya serkali isiyofuata misingi ya utawala bora, hakuna, hata mwenyekiti hofu kubwa aliyonayo ni wenzake ndani ya mtandao wa chama.
kuna watu wanasema hana malengoNakubaliana na hoja yako isipokuwa ni vyema ufahamu Humphrey Polepole anaishi maisha salama huko alipo kuliko watanzania wengi ambao wanaishi Tanzania.
Ndio lakini ukimbizini.Nakubaliana na hoja yako isipokuwa ni vyema ufahamu Humphrey Polepole anaishi maisha salama huko alipo kuliko watanzania wengi ambao wanaishi Tanzania.
Utaendelea kuwa lofa tena lodi lofa.Hiyo inanifunza mimi kama muhuni kua kama polepole aliekuwa kwenye system anajificha hivyo..je mimi lofa ni nani mpaka niguse au niingilie mambo ya wakubwa..???