Duh kusema ukweli naogopa kusema uongo....maana Idadi inaweza kuongezeka endapo huyu atakayeniuliza naye ni KE? naweza kujibu 3200 alafu nikampitia na muulizaji idadi ikawa 3201
Tunajipaga stress bure. Tumeumbwa tufanye na wengi..ingekuwa kwaajili ya mtu mmoja Mungu mwenyewe angeweka mechanism ya kuhakikisha nikishakuwa na mmoja ni huyo huyo.