Kama leo ingekuwa kiama ukaulizwa ulilala na wanawake wangapi duniani, utasemaje?

Kama leo ingekuwa kiama ukaulizwa ulilala na wanawake wangapi duniani, utasemaje?

Duh kusema ukweli naogopa kusema uongo....maana Idadi inaweza kuongezeka endapo huyu atakayeniuliza naye ni KE? naweza kujibu 3200 alafu nikampitia na muulizaji idadi ikawa 3201
 
Nani alikwambia hiyo ni dhambi..

Waliumba mbususu na mkuyenge

Wakaumba nyege

Walitegemea nini!?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Tunajipaga stress bure. Tumeumbwa tufanye na wengi..ingekuwa kwaajili ya mtu mmoja Mungu mwenyewe angeweka mechanism ya kuhakikisha nikishakuwa na mmoja ni huyo huyo.
 
Uzuri si dhambi ntasema nililala na wanawake wengi kuanzia tukia vacation, site za kazi,
 
Back
Top Bottom