Kama leo mmeumia moyo derby mtatolewa na roho kabisa mjiandae

Kama leo mmeumia moyo derby mtatolewa na roho kabisa mjiandae

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nimepita sehemu mbali mbali vijiwen inaonekana watan wagumu.Sana kukubali matokeo na hawana uvumilivu

Kila uliekutana nae anakwambia matokeo ya leo ya.Memuumiza sana moyo

Nikawaonea huruma sana kama hivi tu wameumia.Moyooo wajiandae kutolewa na roho

Derby day...Maana wamehaidiwa kukandwa vilivyoooso watan msiseme sijawambia derby msikanyage uwanjan ushauri tu mzurii
 
Back
Top Bottom