IGP Kasema "ukidhani kama Mbowe kabambikiwa nenda kamuulize, hatuna haja ya kupoteza muda na nguvu zako kumtetea kwenye mitandao., wewe nenda kamuulize hivi Je Mwamba ni kweli haya mambo?Unaonekana wazi wewe bado ni mchanga sana kwenye siasa na hata kiumri swala la kesi za kubambikizwa kwa vyama vya upinzani hili limekuwa ni jambo la kawaida hasa kwa nchi zilizokosa demokrasia hasa hizi nchi za kiafrika zenye uroho wa madaraka.
Kwa kufanya kitendo hiki kwao wanaona ni njia mojawapo ya kumdidimiza mwenzie au kumpoteza mwenzie(mchezo mchafu) chama chochote kilichopoteza matumaini ya kuendelea kubakia madarakani huwa wanakuwa na tabia hizi na hizi ndio siasa za kiafrika.
Anza sasa kufatilia siasa za nchi hizi za kiafrika utagundua mengi tu,angalia wenzetu kule uganda na rwanda utanipa jibu.
Kama ungalijua umuhimu wa upinzani makini dhidi ya chama tawala chenye maono mafupi, kilichokosa dira na muelekeo sahihi, natambua kuwa ungalikaa kimya na kutoshabia suala la Mbowe kubambikiwa kesi isiyokuwa na maana yoyote ile.IGP Kasema "ukidhani kama Mbowe kabambikiwa nenda kamuulize, hatuna haja ya kupoteza muda na nguvu zako kumtetea kwenye mitandao., wewe nenda kamuulize hivi Je Mwamba ni kweli haya mambo?
tayari Mwamba amesha kichafua chama vibaya sana, yaani kanyea kambi.
watanzania hawataki chama chenye lengo la kuvuruga amani na utulivu,Kama ungalijua umuhimu wa upinzani makini dhidi ya chama tawala chenye maono mafupi, kilichokosa dira na muelekeo sahihi, natambua kuwa ungalikaa kimya na kutoshabia suala la Mbowe kubambikiwa kesi isiyokuwa na maana yoyote ile.
Hizi ndo akili za lumumba DPP. IGP, DG wa tiss, upuzi mtupu,Kuna kila dalili Chadema imepata doa ambalo haliwezi kufutika. Mbowe anatuhumiwa kwa kesi ya Ugaidi kosa ambalo ni hatari sana kwa usalama wa nchi, ni ukweli usio na shaka kuwa Japo bado ni tuhuma lkn ni tuhuma nzito.
Sio tu ni pigo kwa Mbowe mwenyewe lakini pia lina athari ya moja kwa moja kwa chama chenyewe kwa sababu Mbowe ndio alikuwa kiongozi, hivyo tuhuma zinazo mkabili zimekichafua chama kwa kiwango ambacho hakitosafishika wala kuaminika ktk jamii.
Kufuatia tuhuma hizi dhidi ya Mbowe kwa sasa Chadema inaonekana kama Genge la wahalifu na hivyo kila mtu anakiogopa.
yaani Mbowe kanyea kambi.
Kama Lissu anaweza kuchanga karata zake basi ni vyema akafikiria kuanzisha chama chake.
Unaijua ccm wewe? na wenye ccm yao? Dogo acha kuhemukawatanzania hawataki chama chenye lengo la kuvuruga amani na utulivu,
watqnzania wanataka washawishiwe kwa hoja na sio kwa kuvuruga amani, njama za kihalifu, matusi vurugu mechi.
binafsi sina chama ila napenda wanasiasa wanao tumia hoja kushawishi na sio kuvuruga mambo mazuri ilimradi tu wapate cha kusema.
kwa sasa Tanzania bado hatuna chama makini cha upinzani, walio wengi wanajali masilahi yao binafsi na kuwahadaa watanzania.
uchu wa kupata madaraka kwa njia yoyote ile kwa kifupi viongozi wa vyama vya upinzani hawaheshimu wala hawajali uzalendo wa nchi, wala hawajali tunu za taifa wao wanacho waza ni madaraka tu.
IGP Kasema "ukidhani kama Mbowe kabambikiwa nenda kamuulize, hatuna haja ya kupoteza muda na nguvu zako kumtetea kwenye mitandao., wewe nenda kamuulize hivi Je Mwamba ni kweli haya mambo?
tayari Mwamba amesha kichafua chama vibaya sana, yaani kanyea kambi.