Kama maandamano yamepigwa marufuku, sasa haya kusema Heche kajinufaisha mmewezaje kuruhusu?

Heche alituhumiwa na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya kikao cha kigoma,haikutokea kwa bahati mbaya au kuokotwa kutoka jalalani,chadema ni chama safi,basi kidumishe usafi huo,zinapotokea tuhuma,wale wahusika wapishe ili uchunguzi ufanyike and then yawekwe adharani,ionekane ilikuwa uongo au vinginevyo,ndiyo maana ya siasa za uwazi ndani ya chama.
 
Mkuu punguza mihemko na hisia mbovu hebu tueleze kwa kina Heche alituhumiwa na viongozi gani ndani ya kamati kuu, na ni sh ngapi anayotuhumiwa kuifisadi
 
1785046121678.jpg
 
Mkuu punguza mihemko na hisia mbovu hebu tueleze kwa kina Heche alituhumiwa na viongozi gani ndani ya kamati kuu, na ni sh ngapi anayotuhumiwa kuifisadi
Hujui yanayoendelea ndani ya chama chako? Ajabu kabisa!,kwa hiyo upo tu!,unajua kuzungusha, piiipoo pawaaa 😊😊
 
Haujamjibu alichokuuliza bado...yeye hajui sasa kwakuwa wewe unajua wajibu wako ni kuelezea yaliyokawepo kwenye hicho kikao
 
Hujui yanayoendelea ndani ya chama chako? Ajabu kabisa!,kwa hiyo upo tu!,unajua kuzungusha, piiipoo pawaaa 😊😊
Chama gani maana mpaka mkaweka wakatoliki wa jioni
 
Mkuu punguza mihemko na hisia mbovu hebu tueleze kwa kina Heche alituhumiwa na viongozi gani ndani ya kamati kuu, na ni sh ngapi anayotuhumiwa kuifisadi
Ukweli umekuwa mihemko.Na yule samia kuita magaidi watu ni nini
 
Heche alituhumiwa na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya kikao cha kigoma,haikutokea kwa bahati mbaya au kuokotwa kutoka jalalani,chadema ni chama safi,basi kidumishe usafi huo,zinapotokea tuhuma,wale wahusika wapishe ili uchunguzi ufanyike and then yawekwe adharani,ionekane ilikuwa uongo au vinginevyo,ndiyo maana ya siasa za uwazi ndani ya chama.
Acha na mume wako Heche wewe nenda Kwa mwenyekiti wako muuaji.
 
Yaani wanachama WA CCM ni vichaa kabisa na hawana hoja. Chadema imewakaa mno kuliko kuwasimamia mawaziri wapigaji huko waache upigaji.
 
Back
Top Bottom