Mkuu punguza mihemko na hisia mbovu hebu tueleze kwa kina Heche alituhumiwa na viongozi gani ndani ya kamati kuu, na ni sh ngapi anayotuhumiwa kuifisadiHeche alituhumiwa na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya kikao cha kigoma,haikutokea kwa bahati mbaya au kuokotwa kutoka jalalani,chadema ni chama safi,basi kidumishe usafi huo,zinapotokea tuhuma,wale wahusika wapishe ili uchunguzi ufanyike and then yawekwe adharani,ionekane ilikuwa uongo au vinginevyo,ndiyo maana ya siasa za uwazi ndani ya chama.
Hujui yanayoendelea ndani ya chama chako? Ajabu kabisa!,kwa hiyo upo tu!,unajua kuzungusha, piiipoo pawaaa ππMkuu punguza mihemko na hisia mbovu hebu tueleze kwa kina Heche alituhumiwa na viongozi gani ndani ya kamati kuu, na ni sh ngapi anayotuhumiwa kuifisadi
Haujamjibu alichokuuliza bado...yeye hajui sasa kwakuwa wewe unajua wajibu wako ni kuelezea yaliyokawepo kwenye hicho kikaoHujui yanayoendelea ndani ya chama chako? Ajabu kabisa!,kwa hiyo upo tu!,unajua kuzungusha, piiipoo pawaaa ππ
Hayatishii amani na usalama wa Nchi.Tukisema CCM ni takataka wakina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Crocodiletooth na wengine vinara.
Haya mtueleze haya maandamano ni ya pesa yapo uhuru kupitia wizara gani.
Mkija na jibu naomba kuuliza kama vibari hivyo na kuitisha hayo walipata kwa waziri wa kikosi cha ugaidi wa mwaipopo katambi toka sehemu gani.
Acha na mume wako Heche wewe nenda Kwa mwenyekiti wako muuaji.Heche alituhumiwa na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya kikao cha kigoma,haikutokea kwa bahati mbaya au kuokotwa kutoka jalalani,chadema ni chama safi,basi kidumishe usafi huo,zinapotokea tuhuma,wale wahusika wapishe ili uchunguzi ufanyike and then yawekwe adharani,ionekane ilikuwa uongo au vinginevyo,ndiyo maana ya siasa za uwazi ndani ya chama.