Kama maazimio ya bunge la EU limeleta kiwewe, itakuwaje bunge la dunia litakapotoa tamko?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Inasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini!

Nafikiri, kiitifaki, Umoja wa mabunge duniani ni kubwa zaidi kuzidi bunge la EUE!

Ikiwa bunge la EU "limeitetemesha" nchi, itakuwaje pale Umoja wa mabunge duniani utakapotoa maazimio yake? Bora tu isifanye hivyo kwa sababu...

Ikumbukwe, msomi Dr. Tulia Akson kutoka Tanzania ndiye Rais wa Umoja huo!
 
Bunge la EU lina nguvu mara milioni kuliko ujinga wa Bunge la dunia, anayekata check ndio anasikilizwa sio story za mdomoni tu kama African union
 
Inasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini!

Nafikiri, kiitifaki, Umoja wa mabunge duniani ni kubwa zaidi kuzidi bunge la EUE!

Ikiwa bunge la EU "limeitetemesha" nchi, itakuwaje pale Umoja wa mabunge duniani utakapotoa maazimio yake? Bora tu isifanye hivyo kwa sababu...

Ikumbukwe, msomi Dr. Tulia Akson kutoka Tanzania ndiye Rais wa Umoja huo!
m7 anapeta tu
 
Halafu spika wa mabunge duniani kajikausha kimya kama hatokeia TZ😂😂😂ngoja aende duniani kwenye vikao akajionee
 
Back
Top Bottom