GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Suburi uone atakavyoikoromea Serikali ya JMT!Walikosea sana kumpa Tulia hiyo nafasi.
m7 anapeta tuInasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini!
Nafikiri, kiitifaki, Umoja wa mabunge duniani ni kubwa zaidi kuzidi bunge la EUE!
Ikiwa bunge la EU "limeitetemesha" nchi, itakuwaje pale Umoja wa mabunge duniani utakapotoa maazimio yake? Bora tu isifanye hivyo kwa sababu...
Ikumbukwe, msomi Dr. Tulia Akson kutoka Tanzania ndiye Rais wa Umoja huo!
Halafu spika wa mabunge duniani kajikausha kimya kama hatokeia TZ😂😂😂ngoja aende duniani kwenye vikao akajioneeInasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini!