Kama mabeberu wanatuonea wivu, kutupiga vita na kutochochea kwa nini tusiwe vibaraka wa magharibi tu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Shida iko wapi kujisalimisha na kukubali kuwa kibaraka wa Marekani kama nchi za Gulf za Saudi Arabia, Kuwait, Oman, UAE, Bahrain na Qatar pamoja na nyingine kama za Japan, Korea Kusini na Israel ili tusichochewe kupigana wenyewe kwa wenyewe na kuharibu nchi zetu?

Kwa nini CCM haioni umuhimu wa sisi kama taifa kuwa vibarka wa Marekani kama nchi za gulf ili tuwe na maendeleo makubwa kupindukia pamoja na CCM kutawala bila hata kusumbuliwa kuhusu mambo ya demokrasia na haki za binadamu ?
 
Naomba kuuliza hasa kwa Tanzania.

1. Je, kuna rasilimali zipi ambazo bado hazijachukuliwa na mabeberu mpaka kuonewa wivu ikiwa tangu tupo wadogo enzi za mkapa tukasikia madini yamebinafaishwa kwa mabeberu? Chama kipi kilibinafsisha hizo rasimali?

2. Mbona kuna nchi za Kiafrika Kusini mwa Jangwa la Sahara mfano Botswana wana almasi tu wananchi wake wana maisha angalau wakati sisi tuna rasilimali chungu mbovu na CCM ndiyo imetawala tangu uhuru?
 
Maswali ya msingi
 
Usiwaamini ccm wakipiga swaga zao kuwa mabeberu wanavizia rasilimali zetu. Huo ni uzandiki wao tu ili kuwapumbwaza Watanganyika
 
Back
Top Bottom