Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya ziada ktk idara nyeti yetu ya siri pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 kutoka sasa
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa. Hili linafanyika kwa wanawake na wanaume wa mataifa mengine kuhonga na kuwalaghai waume na wake
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane.
Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.
Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali.
Je, kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.
Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi.
Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi