Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Aisee!Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Mtasalia hivyo hivyo kumtisha kila anae jaribu kunenaUnahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Acha kutema uharo wako humu. Hakuna wanalolijua hao watu zaidi ya kuiba chaguzi na kuhakikisha wajinga CCM kuendelea kuwa madarakani.Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Kunena hajazuiwa mtu. Ishu ni kunena jambo usilolijia na kupotosha.Mtasalia hivyo hivyo kumtisha kila anae jaribu kunena
Yaani mjinga anatawala, halafu wewe mwerevu umeshika bomba! Ahahahahaha!!!Acha kutema uharo wako humu. Hakuna wanalolijua hao watu zaidi ya kuiba chaguzi na kuhakikisha wajinga CCM kuendelea kuwa madarakani.
Hao ni maiti zinazotembea.
Hatuendi vizuri ndo ukweliKunena hajazuiwa mtu. Ishu ni kunena jambo usilolijia na kupotosha.
Hoja nzuri ila kisarufi urudi darasaniTaifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya zida pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 inayokuja.
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa.
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane.
Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.
Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali.
Je, kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.
Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi.
Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi
Nchi nyingi tu duniani haziendi vizuri. Na ushahidi mkubwa upo. Trump kila siku analalamika kuwa nchi ilikuwa haiendi vizuri.Hatuendi vizuri ndo ukweli
Kila tukio litamhusu ambaye atakuwa karibu na eneo litokeapo tukio.Nchi nyingi tu duniani haziendi vizuri. Na ushahidi mkubwa upo. Trump kila siku analalamika kuwa nchi ilikuwa haiendi vizuri.
Wapo wanyarwanda wengi saa huko TABORA WANA NiDA kabisa tena zipo kweenye covers zao za cmu. Kuna mmoja namjua ana mpaka ardhi bongoTaifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya zida pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 inayokuja.
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa.
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane.
Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.
Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali.
Je, kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.
Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi.
Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi
Kwanini tufike huko while tunaweza tengeneza sasaNa hivyo ndivyo tunavyotaka serikali ianguke tuheshimiane.