Kama macho ya idara yasipoona, Tanzania itapita kipindi kigumu sana kisiasa na kiuchumi

Nipeni Idara au mkuu wa nchi niwafikishieni nchi ya ahadi.
 
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?

Acha uchizi wako wewe , hiyo idara hakuna kitu ni wapuudhi flani wanaotumia hovyo kadi ya nchi
 
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Aisee!
Hivi umesoma kweli kilichoandikwa?
Hiki kitu ni nje ya uwezo wako ni vyema ukapita mbali kabisa!
 
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Mtasalia hivyo hivyo kumtisha kila anae jaribu kunena
 
Bahati mbaya sana hao uliowaandikia humu muda huu wanawaza namna ya kuiba uchaguzi na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi. Hawana mambo ya maana wanayowaza zaidi ya huo upuuzi hivyo usitegemee chochote kutoka kwao.

Huko ndo wamejaa wajinga kuliko hata Polisi wetu na muda wote wanawaza kuwalamba miguu Wanasiasa. Kwa kifupi ni watu wasiojitambua na wasiotambua nafasi zao.

Tuombe tu Nchi hii atokee Sani Abacha wetu au Kapteni Traore afanye yake.
 
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Acha kutema uharo wako humu. Hakuna wanalolijua hao watu zaidi ya kuiba chaguzi na kuhakikisha wajinga CCM kuendelea kuwa madarakani.

Hao ni maiti zinazotembea.
 
Acha kutema uharo wako humu. Hakuna wanalolijua hao watu zaidi ya kuiba chaguzi na kuhakikisha wajinga CCM kuendelea kuwa madarakani.

Hao ni maiti zinazotembea.
Yaani mjinga anatawala, halafu wewe mwerevu umeshika bomba! Ahahahahaha!!!
 
Hoja nzuri ila kisarufi urudi darasani
 
Wapo wanyarwanda wengi saa huko TABORA WANA NiDA kabisa tena zipo kweenye covers zao za cmu. Kuna mmoja namjua ana mpaka ardhi bongo
 
Neno IDARA ni kubwa sana lakini kwa TZ sidhani kamakuna wana idara wenye vichwa vya kufikiri ipasavyo!!

IDARA INARUHUSUJE CHAMA KIMOJA KUKAA MADARAKANI KWA MIAKA 40!!?YAANI CHAMA HAKINA MBADALA WALAU WA KUFANYA REMEDY PALE KINAPOBORONGA!!?

YAANI TUNASEMAJE TUNA IDARA HADI MAMBO YAMEHARIBIKA HIVI!!?NINGEKUA NA UWEZO HAO WANAOJIITA WANA IDARA NINGEWACHAPA VIBOKO. VINGI SANA COZ WAMEIHARIBU SANA JAMHURIYA TZ!!

sidhani kama Kuna idara hapa tz labda idara ya CCM lakini sio ya Taifa!!

Mwanaccm mwenye akili timamu kama mimi ningetamani chama chetu kingepumzishwa ilikijenge misingi imara ya uzalendo na uadilifu ndio wapewe Dola tena!!
 
Hii Serikali inayotuingiza kwenye utumwa wa Waarabu, ikianguka na kufa, litakuwa ni jambo la heri kubwa sana kwa Taifa letu na kwa vizazi vijavyo. La sivyo, kuna siku eneo lote la pwani na bandari zake zitakuwa Crimea ya Tanganyika.

Waarabu wanataka kuiteka hii nchi. Wameanzia kwa kupora njia zote kuu za kiuchumi. Wakishamiliki uchumi, watahamia kwenye umiiki wa nguvu za kisiasa. Baada ya hapo watayamega maeneo yote ya pwani na kuyafanya sehemu ya Zanzibar. Wakati huo ukifika, wataifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Oman, na ndipo ile kauli ya mfalme wa Oman kuwa hata ipite miaka mingapi, kuna siku makao makuu ya sultani wa Oman yatarudi kwenye eneo lake, Zanzibar, yatakapotimia. Na ndiyo maana ya ile kauli ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuwa eti eneo lote la pwani ya bahari toka Mtwara mpaka Pangani, na visiwa vya Kilwa, ilitakiwa viwe sehemu ya Zanzibar kwa sababu maeneo hayo yalikuwa chini ya sultani, na kwamba hayati Karume alikosea kuyadai wakati wa makubaliano na Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…