Kama maeneo ya Dar es Salaam yangekuwa wanawake, basi hizi ndio tabia zao

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,323
Relax, sipo hapa kumkera mtu yeyote ni jambo la kufikilika tu

Just imagine maeneo mbali mbali ya DSM yangekuwa ni jinsia ya kike unafikiri yangekuwa na tabia gani...?

Ifuatayo ni analysis fupi kuelezea tabia za maeneo hayo kuyalinganisha na wanawake [emoji28]

1. POSTA- Mwanamke mzuri ambae she’s always working, pesa anazo na anajiita independent ila hazionekani...pesa anatumia za mwanaume tu kwa kila kitu na hana muda na familia yeye muda wote anawaza kazi

2. SINZA- Ni Slay queen anapenda starehe lakini pesa hana wala kazi, zaidi ya kutegemea wanaume wampe pesa ana mabwana zaid ya mmoja maana ndio kitega uchumi chake kikuu

3. TABATA- Ni (Party girl) Mwanamke anaetokea Middle class family kazi yake ni kufurahia weekend ifike akale maisha, anachukia kufanya kazi anapenda kunywa pombe na kuvuta shisha

4. G/ MBOTO- Huyu apa ni Asha chupi kubwa au Mwajuma chanua chanua, anatokea familia ya chini anajaribu kujishughulisha na biashara ndogo ndogo na mapenzi lakin hana bahati na vyote

5. MBEZI/ KIMARA- Mwanamke kutoka Lower Middle class family anajitunza somehow anapenda dini kwa mbali, lakini sometimes analiwa kimasihara na choirmaster pamoja na watumishi wenzie fake

6. MIKOCHENI- Mwanamke Class, Elegant & beautiful anajiita independent ila bado anadai child support na kulipiwa kodi japo kaamua kupanga mansion mwenyewe

7. MWENGE- Mwanamke beautiful not so smart though, ana watoto lakin kawaacha kwa baba/bibi, yuko busy anatafuta ndoto yake ya kuwa model au video vixen

8. KIGAMBONI- Single Mother ambae alitelekezwa ila kila siku zinavyoenda anazidi kuwa mtamu

9. MBAGALA- Amina kipini, anakunywa double kick hana gharama anagawa kama njugu kwa vile kapewa bure, akiingia geto lazima aibe kitu

10. .... ongezea na wewe maeneo yapo mengi[emoji28]

unafikiria nini kuhusu hiyo analysis? Kuna mahali popte ambako kumeonewa?
Sema ni free country hii au at-least we think it is.
 
Mbezi beach, high class girl,hawa mboga saba, shopping zao Supermarket kubwa, wikend jion wapo samaksamak, karambezi, seaclif.. wana ist au impreza mkononi iphone 13 wamenunuliwa na washua wao. Ujinga wao huwa wanafall in love na watoto wa Mwananyamala wenye tattoo na vi rasta rasta
 
manzese je

11. MANZESE- Halima chaupele, Hana maisha mazuri sana... sio msafi, anafanya biashara ya kukaanga samaki anawatoa kutoka feli... pesa yote ya samaki anayoipata anaishia kutunza kwenye sherehe ili awakomeshe wanafiki (kutokana na mawazo yake)
 
Nione vya masaki na obey please

12. MASAKI/ OBEY - Class, elegant, rich but lonely... probably divorced
au kama yupo kwenye ndoa/mahusiano hana raha... sexy life yake mbaya... umri ni middle aged woman ila bado anataka zile thrill za kupelekewa moto wa maana, kwahiyo anatembea na vijana wadogo ambao hawana cha ku offer zaidi ya mapenzi

Anafanya kila linalowezekana kubakia binti maana umri umemtupa, positive quality yake ni anajaribu kila aliwezalo kutengeneza mahusiano mazuri na watoto wake if she’s lucky
 
Without mpalange your thread is not complete. Just thinking

13. BUZA- Siwema Kijoti, Hana pesa anaishi maisha ya kubahatisha alipata mimba alivyokuwa shulen, mtoto wake kamuachia Mama yake kisarawe... kaaga kuja mjini kutafuta maisha, anaishia kugawa show mitandao yote hata ule mtandao ulionunuliwa juzi juzi(tigo tz)

Biashara yake hailipi sana anadaiwa madeni ya vikoba na michezo ndio kilichompelekea awe mbunifu mpaka kugawa mtandao, kumbuka yupo bado anaamini kuwa kuna siku atapata Bwana ampangie nyumba angalau Kinondoni ili akimbie madeni yake
 
11. MANZESE- Halima chaupele, Hana maisha mazuri sana... sio msafi, anafanya biashara ya kukaanga samaki anawatoa kutoka feli... pesa yote ya samaki anayoipata anaishia kutunza kwenye sherehe ili awakomeshe wanafiki (kutokana na mawazo yake)
Makubwa haya hivi kuna watu wanishi maisha hayo jamani? Ee mola kumbuka waja wako!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Relax, sipo hapa kumkera mtu yeyote ni jambo la kufikilika tu

Just imagine maeneo mbali mbali ya DSM yangekuwa ni jinsia ya kike unafikiri yangekuwa na tabia gani...?

Ifuatayo ni analysis fupi kuelezea tabia za maeneo hayo kuyalinganisha na wanawake [emoji28]

1. POSTA- Mwanamke mzuri ambae she’s always working, pesa anazo na anajiita independent ila hazionekani...pesa anatumia za mwanaume tu kwa kila kitu na hana muda na familia yeye muda wote anawaza kazi

2. SINZA- Ni Slay queen anapenda starehe lakini pesa hana wala kazi, zaidi ya kutegemea wanaume wampe pesa ana mabwana zaid ya mmoja maana ndio kitega uchumi chake kikuu

3. TABATA- Ni (Party girl) Mwanamke anaetokea Middle class family kazi yake ni kufurahia weekend ifike akale maisha, anachukia kufanya kazi anapenda kunywa pombe na kuvuta shisha

4. G/ MBOTO- Huyu apa ni Asha chupi kubwa au Mwajuma chanua chanua, anatokea familia ya chini anajaribu kujishughulisha na biashara ndogo ndogo na mapenzi lakin hana bahati na vyote

5. MBEZI/ KIMARA- Mwanamke kutoka Lower Middle class family anajitunza somehow anapenda dini kwa mbali, lakini sometimes analiwa kimasihara na choirmaster pamoja na watumishi wenzie fake

6. MIKOCHENI- Mwanamke Class, Elegant & beautiful anajiita independent ila bado anadai child support na kulipiwa kodi japo kaamua kupanga mansion mwenyewe

7. MWENGE- Mwanamke beautiful not so smart though, ana watoto lakin kawaacha kwa baba/bibi, yuko busy anatafuta ndoto yake ya kuwa model au video vixen

8. KIGAMBONI- Single Mother ambae alitelekezwa ila kila siku zinavyoenda anazidi kuwa mtamu

9. MBAGALA- Amina kipini, anakunywa double kick hana gharama anagawa kama njugu kwa vile kapewa bure, akiingia geto lazima aibe kitu

10. .... ongezea na wewe maeneo yapo mengi[emoji28]

unafikiria nini kuhusu hiyo analysis? Kuna mahali popte ambako kumeonewa?
Sema ni free country hii au at-least we think it is.

Mnawaonea sana wa Mama zetu na madada zetu,
Mkimaliza hii siredi , mfugue na ya wanaume wa maeneo ya darisalama....
makaka poa,, mapedejee, masharobaro, wauza urembo, wasomi uchwara, wastaafu, wakuisikilizia hela, wachungaji feki...
 
[emoji28] haonewi mtu, inaonekana hiyo thread ifunguliwe na wewe
 
Back
Top Bottom