GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Braza popoma upo sahihHuwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.
Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
hawatuwezi hata kidogoHuwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.
Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
Ujinga mzigoHuwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.