Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Hujaelewa nini hapo? Rudia soma taratibu.Umeandika asi if Taasisi ni mti uko mahali! As if an institution is an object! Shuleni ulisoma kidogo issue za administration & Management and Leadership? Kama ulisoma nenda kasome madesa Yako halafu ufanye contextualization! Na baada ya hapo uje na argument ambayo itahold water
Aliwahi kusema mwenyewe kuwa yeye ni kichaa! Pia ukichaa sio lazima mtu aokote makopo, wapo vichaa wengi tu ni walimu na madaktari.Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Kipofu pekee yake anaweza kusema kwamba hajaona record ya Magufuli wizara ya ujenzi or chuki binafsi. So hata nikiandika bado utabisha tuRekodi gani?.. sijawahi toka nje ya nchi
Si nimekuombq hizo rekodi,weka.. simple!Kipofu pekee yake anaweza kusema kwamba hajaona record ya Magufuli wizara ya ujenzi or chuki binafsi. So hata nikiandika bado utabisha tu
Lowasa alikuwa amewashika papaya.Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?