Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Narudia tembele maktaba ya taaisi ya elimu Tanzania IPO na vitabu vyote hewani bila shida yoyote na u-extract text inayosema : binadamu alitokana na Sokwe. Ukifanya hivyo nitajitoa jamii forums leo. Tafuta maarifa na hapo utajikuta unajisifia umesoma sayansi na huwezi kueleza Darwin theory of emergence

Narudia tembele maktaba ya taaisi ya elimu Tanzania IPO na vitabu vyote hewani bila shida yoyote na u-extract text inayosema : binadamu alitokana na Sokwe. Ukifanya hivyo nitajitoa jamii forums leo. Tafuta maarifa na hapo utajikuta unajisifia umesoma sayansi na huwezi kueleza Darwin theory of emergence of species!
Nakusubiria ujitoe JF, Hiyo makala ya BBC ambao imeandaliwa kwa msaada wa hivyo vitabu.

Mnapenda uzushi uzushi wa kipuuzi.
 
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.
Kichaa Huwa hapewi Rungu ila anachungwa so alipewa uwaziri Kwa sababu Mchungaji wake yupo.

Ndio maana alipoleta ukichaa wake kwenye ishu ya malori,Mwenye mbwa alimpiga stop.
 
Kuna mwalimu wangu Mmoja alinifundisha CBE_Dodoma alikuwa nzuri sana wa kufundisha!Tena Jamaa alikuwa anaota kichwani.Lakini alikuwa na tatizo la Afya ya Akili Ndio maana wataalamu wakapendeza tusiite kichaa.Hapa mtani kwangu kuna mwenye duka mmoja Huwa anajishtukia kinapotaka kumtokea anameza sawa mapema na kulala!Kuna Sina tatu za hizo afya za Akili ukiwauliza wataalamu watakufafanulia.
Sawa.

Lakini tufike sehemu mtu akiwa na rekodi mbaya kama ya kumbaka binti yake wa miaka 16 na kumuambukiza HIV, halafu ampige mpaka kumuua, asiruhusiwe kuwa rais wa nchi.

Unakubaliana na hilo?
 
Hapa anaongelewa Magu msihamishe mjadala
Nimeulizwa na nimejibu. Aliyeniuliza ndiye kaleta habari zaidi ya Magu. Hoja hii moe yeye si mimi.

Ushuzi kajamba mwingine, kwa nini unanilaumu mimi?

Na kwa nini unamkingia kifua Nyerere wakati mizizi ya Magufuli ipo kwenye ujinga wa Nyerere kutupa katiba mbovu na kuwa na sheria mbovu?
 
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.
Tena kama Kuna tuzo za mawaziri wa ujenzi hapa Tanzania kihaki kabisa hiyo tunzo ilitakiwa apewe Magufuli

Ni wizara ngumu na yenye rushuwa njenje Yani pale hauoewi rushuwa ila unabembelezwa uchukue rushuwa

Kwa kweli Taifa limepoteza mtu muhimu sana ambaye angeitoa na kuivusha nchi yetu kutoka katika makucha ya Wala rushuwa na mafisadi

R.I.P jembe Magufuli

Kwangu Mimi ndio kiongozi wa karine
 
Magufuli kachafuliwa sana.

Kabendera kaandika kuwa Magufuli kambaka binti yake wa miaka 16, kamuambukiza HIV, kisha kampiga mpaka kumuua. Watu wakamfichia.

Hizi tuhuma ni kubwa sana, ni zaidi ya siasa.

Kama haya mambo si kweli, mshitakini Kabendera tupate kusikia ushahidi wa mahakamani unaotolewa chini ya kiapo na adhabu ya perjury.

Msipomshitaki Kabendera, mmekubali tuhuma zake ni kweli.
 
Nakusubiria ujitoe JF, Hiyo makala ya BBC ambao imeandaliwa kwa msaada wa hivyo vitabu.

Mnapenda uzushi uzushi wa kipuuzi.
Ulivyosoma hiyo MAKALA na kama. Ilivyosoma Mimi Kuna mahali ambapo wameandika kwamba BINADAMU ALITOKANA NA SOKWE? Kama Ndio nielekeze nikasome hapo!
Wakati Mwandishi wa MAKALA anaelezela evidence of evolution na origin of species
Kwamba inawezekana binadamu anatokana na the same ancestors na hao apes wewe umekaza fuvu kuwa wameandika binadamu ametoka na Sokwe! Yani chanzo Cha binadamu ni Sokwe!
Na hii ni nadharia (theory) ambapo Moja wapo ya sifa za theory ni hizo:
1. Theory can never be true nor false rather it can be applied nor applied !
Kumbuka hii sio absolute principle ya origin of man,

Sababu Kuna nadharia nyingine kwamba BINADAMU ALITOKANA na uumbaji (creation theory)
Ambapo umeisoma kwenye biblia na Quran!
Sasa Kwa sababu wewe Bado hujtafitii maarifa umeshindwa hata kusoma hiyo MAKALA ya BBC na kuja kujibu swali!

Ukiniletea binadamu anatokana na Sokwe Mimi nitajitoa JF
 
"Ushawahi kujiangalia huko nyuma na ukashangaa au kujiuliza mkia wako umeenda wapi? Inaweza kuonekana kama jambo la masihara hivi au swali la kitoto."

"Anatumia panya kutaka kupata ukweli wa asili ya binadamu na huenda akapata kujua kisayansi mkia wa binadamu ulikwenda wapi. Xia na wenzake wnaangalia mabadiliko ya ukuaji wa panya. Mpaka walichogundua baada ya shughuli zao za kitafiti ni kwamba ukuaji wa mkia wa panya wanaotumika kwneye utafiti huo haukui kama ilivyo mikia wa panya wengine."

Saasa sijajua kwa maelezo haya mafupi nani anakaza fuvu? na picha ukawekewa na ndio picha iliyopo kwenye vitabu vyetu vya kihistoria.
Screenshot_20250104_094332_Chrome.jpg

Endeleeni kuviamini hivyo vitini vinavyo andika na kuzusha kuhusu Magu kama story za zamani binada asili yake ni sokwe.Kwani hizo ni chai kama chai nyingine.

Uzuri BBC washaprove sasa kama umehairisha kujitoa sawa.
 
Wewe Bado upo kwenye level ndogo sana ya uelewa wa mambo na Bado unaenda kwa hisia na hujasoma vitabu! Jipe muda mdogo wangu! Hata vitini ni extracts za vitabu pia!
Bahati nzuri humu JF hatuweki vyeti wala nafasi tulizokuwa nazo, ila ww kwangu mimi huna tofauti na wale wazee wanao kwenye vijiwe vya kahawa na story za uongo inawezekana ukawana na akili za kuvukia barabara.Inawezekana vitu ninavyo vijua na kuvielewa mimi,ww hata kuvisogelea huwezi.

Bahati nzuri mimi sio msomaji wa vitini hasa hivi vya kipuuzi, ila vitabu nasoma sana,tena kwenye field niliyo kuwepo lazima ujiupdate kila siku.
 
"Ushawahi kujiangalia huko nyuma na ukashangaa au kujiuliza mkia wako umeenda wapi? Inaweza kuonekana kama jambo la masihara hivi au swali la kitoto."

"Anatumia panya kutaka kupata ukweli wa asili ya binadamu na huenda akapata kujua kisayansi mkia wa binadamu ulikwenda wapi. Xia na wenzake wnaangalia mabadiliko ya ukuaji wa panya. Mpaka walichogundua baada ya shughuli zao za kitafiti ni kwamba ukuaji wa mkia wa panya wanaotumika kwneye utafiti huo haukui kama ilivyo mikia wa panya wengine."

Saasa sijajua kwa maelezo haya mafupi nani anakaza fuvu? na picha ukawekewa na ndio picha iliyopo kwenye vitabu vyetu vya kihistoria.
View attachment 3191943

Endeleeni kuviamini hivyo vitini vinavyo andika na kuzusha kuhusu Magu kama story za zamani binada asili yake ni sokwe.Kwani hizo ni chai kama chai nyingine.

Uzuri BBC washaprove sasa kama umehairisha kujitoa sawa.
Dogo mbona unakua bumunda! Swala ni Asili ya viumbe (wanyama) ? Au kwamba Kuna mahali amendika Binadamu Ametoka na Sokwe? Nioneshe Sokwe kuwa chanzo Cha binadamu katika hayo Maandiko! Otherwise shut the hell up!
 
Wewe ndio kiazi mwenye akili za kuvukia barabara. Sasa wewe unataka uoneshwe nini na mpaka picha umewekewa?Maelezo yana jieleza...... maana hii nakala inachokoza/challenge kile tulicho fundishwa huko mashuleni kwamba binadamu asili yake ni sokwe ndio maana wanauliza mkia wake upo wapi.
 
Jamani OP kapelekwa lockup 😹

Ila member muache kuripoti ripoti mbishane kwa hoja nyie watu wazima..!!
 
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.
Watanzania wengi walimuhitaji Magufuli kabla ya kuwa raisi!
 
Kuna mwalimu wangu Mmoja alinifundisha CBE_Dodoma alikuwa nzuri sana wa kufundisha!Tena Jamaa alikuwa anaota kichwani.Lakini alikuwa na tatizo la Afya ya Akili Ndio maana wataalamu wakapendeza tusiite kichaa.Hapa mtani kwangu kuna mwenye duka mmoja Huwa anajishtukia kinapotaka kumtokea anameza sawa mapema na kulala!Kuna Sina tatu za hizo afya za Akili ukiwauliza wataalamu watakufafanulia.
Kuna watu mnajifanya mna afya ya akili kumbe ndo bure kabisa. Yaani bora kichaa anayejitambua kuliko vichaa kama nyie msiyojitambua
 
Aliambiwa alipe kodi hakuna tena janjajanja. Ni huyu huyu Diallo alyekuwa hawalipi mishahara wafanyakazi wake.

Mafisadi walikuwa na bado ni adui namba moja wa JPM hadi sasa. Lazima wamuone kichaa.

Sasa kama anafilisika atalipaje Kodi au mshahara.

Anyway, Diablo alidai kuwa Jamaa ni Psycho ... je ni kweli alikuwa na file Mirembe...?
 
Back
Top Bottom