joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Namjua vizuri Dr Kweka na Muhumbili na nishakutana nae mara mbili kwenye semina zake,ndio maana nikasena hizi chai wakaziuze kwenye vijiwe vya kahawa na hivyo vitini vyao wanavyo viita vitabu.Kuwa Bora kazini hakuondoi dhana ya mtu kuwa na Afya ya Akili mkuu!Waulize wataalamu wa magonjwa ya Akili watakufafanulia vizuri tuu!
Au na ww unaamini hizi porojo za kipuuzi?Maana kama undiminished basi na ww unaakili za kushikiwa.