Kuna ambao walisukumizwa kwenda safari ambayo mtu / watu wakienda huwaga hawarudii.Kumbe Miaka 10 ni mingi mno
Wale watia 39 wa nafasi za urais CCM, 2025.
Hata yeyote angeshinda, asingemaliza mihula yake.
I. Magufuli
2. Lowassa
3. Membe
4. Sitta
5. Mahiga
6. Augustine Ramadhan
Viburi vya kuwa na afya ya sasa, sio guarantee ya kuwa mzima huko mbele regardless umri wako leo.
Mnayemuwazia atatangulia kufa hafi....msiyemfiria kufa karibuni, huyoo untimely chali...Mungu ametuweza.