Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

Utawala wa kifisadi ni wa kifisadi tu!! Hata aje nani.
 
View attachment 2757121
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Call Centre ya Tanesco, kampuni iliyopewa Tenda ya kusimamia Huduma kwa Wateja ndani ya Tanesco ni team and new board were given the mantle to supervise Tanesco’s operations.
Hata akiwekwa pembeni, ashachuma. ndio Tanzania ilivyo. tutunge sheria sio tu watu wawekwe pembeni, bali wawajibishwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa wengine. ukienda hivihivi kwa sasahivi watakuuliza, kwani yeye akiwa mfanyakazi wa Tanesco hana haki ya kufanya biashara?

Hata kama kuna conflict of interest si ukute hiyo kampuni hata hajaweka jina lake. na wakubwa wote serikalini wanafanay hivyo hata wakimuadhibu huyo ni basi tu ila wote wale wale tu. ndio maana tunahitaji kuiondoa ccm madarakani ili tuweke utawara sahihi wa sheria na kujenga nchi upya kabisa.
 
Halafu wanakulazimisha ukate simu. Asante kwa kutumia huduma za Tanesco. Tanesco inakuangazia maisha. Sasa hata kama sitaki tanesco ntatumia huduma gani?

Halafu eti kata simu.
Kweli kutakuwa na mabadiliko call center ya TANESCO. Nimeona kuna tofauti kati ya wahidumu hawa wa sasa na wale wa nyuma. Hawa wa sasa ni Waongo na usanii mtupu. Hadi kupigiwa simu na anayejifanya yupo emergency location halafu baada ya dakika chache natumiwa ujumbe tatizo langu limefanyiwa kazi?? Wakati ukweli ni kwamba kuna mgao wa umeme?
 
Hii nchi tunatakiwa kila mwananchi apimwe afya za akili kila mwezi maana kila siku hawa watawala wanatupiga na kitu kizito. Juzi kati hapa suala la kutupiga kwenye bandari, Ngorongoro, KIA n.k hayajaisha mara sasa hivi tena TANESCO wajanja washafanya tena jambo. Wananchi wanapoyasikia haya pamoja na mgao wa umeme unaoendelea wataachaje kuwa na afya mbovu ya akili?
 
Erolink, mbona kama walikuwa wanataka kuiga jina la kampuni ya elon musk, kwa hyo custome service iliyokuwa chini ya tanesco ilikuwa inafanya kazi chini ya kiwango mpaka ikaletewa dpw yake au?
 
Taarifa kutoka Urusi zinasema, 20% ya mobilised wa Urusi walikufa mwezi wa Kwanza walipofika Vitani Frontline. Na 130 mobilised walikufa siku ya kwanza vitani
 
Hii Mall ipo Moscow Urusi. Tangu imelipuliwa masaa nane zimamoto wameshindwa kuzima moyo. Nini tatizo🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 


Eeehh hii tuhuma nzito sana, eeeh, hii nchi ngumu, ukweli utakuja julikana soon, aisee
 
Nchi hii haina raisi
 
Hii nchi inaendeshwa kifala sana sijui viongozi hawaoni inafika hatua inatia aibu,Sina mashaka na hii kauli yangu yakusema "tuna kanchi kadogo ndani ya nchi yetu!" Ujinga mtupu.
Jifunze kuuliza uthibitisho wa tuhuma kuepusha kuonea watu

2007 wakati Edward Lowassa anashambuliwa kwa tuhuma za Richmond ilikuwa ukihoji ushahidi wa tuhuma zile Makamanda walikuwa wanakuona jama huna akili sijui hujielewi sijui fala fulani

miaka zaid ya kumi na tano sasa hakuna mwenye ushahidi wa tuhuma zile

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…