Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

Mambo ya aina hii yanasikitisha sana. Tunaajiri watu wa aina gani kwenye hizi ofisi kubwa za umma? Hawa watu wanatufilisi kwa kukosa uzalendo na kujipendelea. Tunapoona haya, tunakuwa wanyonge. Mwenyezi Mungu ipo siku atatutetea.
I really miss JPM. Hata kama aliipenda Chato, hakuwa na hizi projecty binafsi za kuibia mashirika ya umma
 
Ndo maana wanawekana wanaofahamiana ili kutengeneza mtandao wa kula, halafu unaambiwa hii nchi ina intelligence system...
 
Anayekuja naye atakula

Hiyo kawaida bongo

Ova
 
Hii ni hadithi ya kutunga, ikiwa na lengo maalumu la kuwachafua watajwa hapo juu kwa faida ya mchafuaji,.


Hujaweka kielelezo hata kimoja cha au chanzo cha kuaminika cha habari zako.


Siku moja watu watasue Jamii Forum kama platform for allowing idiots to post this nonsense. 😂😂. Liable
 
Umasikini wako hausababishwi na Maharage Chande na hautokaa uishe hata call centre ikiondolewa. Wajinga wote nyie
Wewe umeshazoea kubishana na haters za wa boss wako diamond unazani utaweza kubishana na wananchi wanaolalamika matatizo yanayogusa maisha yao stupid
Inasikitisha mnoo mkuu,majitu yana roho mbaya kupitiliza. Unajiuliza hyo call center ndo inapelekea umeme kukatika?
Inaonekana upo empty sana kichwani mwako hujui umuhimu wa call center kalagabaho

Jaribu kusumbua ubongo wako wewe hiyo tuhuma nzito waziri kupenyeza kampuni yake hilo ni tatizo linaloonesha wazi hao watu walikuwepo kwaajili ya kupiga dili hujui kama makamba alipewa pesa nyingi za kuwalipa ile kampuni ya wahindi kwaajili ya maboresho ya tanesco lakini matatizo ya mgao yanaendelea
Na hichi ndio kilichopelekea huyo maharage kuondolewa mgao unaendelea yeye anasema kuna upungufu mwisho wananchi tunashindwa kujua tatizo hasa ni nini
 
Yaani inachosha mno. Nchi yangu Tanzania ninakupenda mno. Ninaumia.
 
Inaonekana upo empty sana kichwani mwako hujui umuhimu wa call center kalagabaho
Jifunze kujibu hoja badala ya kushambulia mkuu. Tuwe na utaratibu wa kutatua mzizi wa tatizo. Tatizo la umeme Tanzania linajulikana,ni mgao wa umeme usio vumilika..na kila mmoja analijua hilo. Tunatakiwa kuuwajibisha mfumo mzima wa Serikali badala ya kudili na waziri ama mkurugenzi...tumeona hao watu wanabadilishwa lakini tatizo linabakia pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…