Kama mahari yataendelea kuwa hivi, mambo ya ndoa tutasikia kwenye redio tu


duu ebhana kwan huyo jamaa anaambiwa v2 vyote hvyo kwan anaenda kuixh kwa wakwee nn
 

eti Lady doctor
hapa KIBONGOMKUTI amesemaje vile?
mi niliishia la tano kidhungu sijui!!

hahahahahahaaa........! Mwenzio me ndiyo yule niliyechora zombi mwaka jana...... Hicho sio kidhungu ni kisukuma cha ndani.... Ngoja nimuombe @ Evelyn salt aje atutafsirie......... Lol!!
 
Last edited by a moderator:
wanaume 2ungane kwenye rasmu hii ya katiba mpya, tuupinge unyonyaji huu, km wote 2nanufaika na ndoa, kwanii tugeuzwe mtaji hali wakati ndoa za cku hiz ni kama cmu za mchina, hakuna Gurantee.
:focus:
 
"What goes around comes around". Leo unawamega mabinti wa wenzio kesho jiandae kumegewa binti yako!!!
 
hahahahahahaaa........! Mwenzio me ndiyo yule niliyechora zombi mwaka jana...... Hicho sio kidhungu ni kisukuma cha ndani.... Ngoja nimuombe @ Evelyn salt aje atutafsirie......... Lol!!

tuanze twisheni ya kujifunza
kidhungu bana,tutakosa bahati hivihivi!!
 

dah msela hajatajiwa atm ya crdb? Dah huyo mkwe nadhani atakua muhanga wa mikopo ndo anataka recovery.
 
wanaume 2ungane kwenye rasmu hii ya katiba mpya, tuupinge unyonyaji huu, km wote 2nanufaika na ndoa, kwanii tugeuzwe mtaji hali wakati ndoa za cku hiz ni kama cmu za mchina, hakuna Gurantee.
:focus:

Mhhh asante kwa ushauri ZEDY andaa ratiba ya maandamano, mimi nitashughulikia vibali kwa afande IGP yu mwemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…