Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Tuliambiwa na January Makamba kuwa mioundombinu ya kusambaza umeme kwa njia ya grid ya taifa imechakaa.
January Makamba kama waziri wa nishati akawawap tenda ya kutengeneza miundo mbinu ya gridi ya taifa ili umeme utililike kama mvua.
Leo hii pamoja na Mahindra tech kulipwa bil 81 taifa la Tanganyika lipo gizani.