Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba niwe jambazi kwenye muvi yako😊😊Me, Myself and I :The True Story of Paula Paul.
Sawa Nelly ,wewe ni jambazi mkuu kwenye movie yangu.naomba niwe jambazi kwenye muvi yako[emoji4][emoji4]
huyo starring ni nani😊😊😊😊Sawa Nelly ,wewe ni jambazi mkuu kwenye movie yangu.
Yaan kwamba..!? (Kwa kiswahili)Me, Myself and I :The True Story of Paula Paul.
Ni mimi hapa. Halafu usisahau mwisho wa story jambazi lazima afe.huyo starring ni nani[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kwa kiswahili haileti maana ila Hadithi ya kweli ya Paula Paul ambaye maisha yake ni yeye pekee yake ndiyo kila kitu.
Zitakuwa seasons ngapi mkuu?
Ni mimi hapa. Halafu usisahau mwisho wa story jambazi lazima afe.