Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipupwe na kiangazi
Kwanini? Naonekana muuaji enhKweli nimeamini unapenda visa vya mauaji
Kwanini? Naonekana muuaji enh
Binafsi movie yangu hii matata kabisa ningeiita "Rise and Fall of Mzee Toboa 1&2&3".
Je, movie inayotokana na maisha yako ungeiita jina gani?
Hapo sawa nimekuelewaKwa kiswahili haileti maana ila Hadithi ya kweli ya Paula Paul ambaye maisha yake ni yeye pekee yake ndiyo kila kitu.
Ni kweli napenda kusoma story za killers.Hapo sina jibu mujarabu mkuu ila kinywa hutamka yazayo moyo wa mtu...Teh Teh teh huonekani muaji ila unaonekana unapenda mambo ya mauji
Ni kweli napenda kusoma story za killers.
300 rise of empireBinafsi movie yangu hii matata kabisa ningeiita "Rise and Fall of Mzee Toboa 1&2&3".
Je, movie inayotokana na maisha yako ungeiita jina gani?