Kama maisha yako yangekuwa ni Movie, ungeeita jina gani hiyo movie?

Kwanini mkuu?
mimi naongoza kupoteza hela na vitu.
juzi tu nimenunua body spray nikaisahau kwenye mgahawa.
Kuna siku nimefika home nataka kuvua saa haipo.imekatika ikaanguka bila mm kujua.
haya basi kuna siku nimekuta madogo wanachezea wallet yangu imeshachoka mbaya.niliipoteza kama wiki 3 hivi tena ilikua na hela.

sasa kwa nini movie yangu isiwe "tupa tupa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…