thomasankara
Member
- Jun 7, 2026
- 22
- 33
Yaani US embassy ihamie sijui Mtumba ama Ihumwa uliona wapi wakimbie bahari hakuna hio kitu pale Drive Inn ni base tosha huwatoi pale bahari ipo karibu uwapeleke Dom kwanza hiyo bajeti hawana tukilazimisha wanaondoa baadhi ya shughuli za ubalozi wanapeleka Nairobi unabaki ubalozi mdgo. Tunavyofanya mambo kiholela tunafikiri wote wapo hivyoTumshukuru Magufuli kwa kutimiza kuhamisha makao makuu ya Taifa Dodoma kufuatana na uamuzi wa baba wa taifa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Karibu Marais wote waliyofuata hasa waswahili wa pwani hawakulipendelea suala la kuhamisha makao makuu kwenda dodoma.
Baada ya Nyerere, Mwinyi hakutoa kipaombele kabisa kuhamia Dodoma. Kikwete yeye alijikuta akisema wazi wapwani hawataki kuhamisha mji mkuu. Mama samia mswahili wa pwani bahati yake mbaya kakuta mji mkuu ushahamishwa lakini kila dalili inaonyesha anafurukuta kuhujumu.
Mwenyewe hakai wala kufanyia kazi Dodoma. Kila shughuli ya Rais anafanyia Dar es salaam. Iwe ni kupokea mabalozi, kuapisha viongozi, kutangaza teuzi, kupokea marais wageni nchini iwe kukutana baraza la mawaziri yote anafanyia Dar es salaam.
Leo hii naandika anapokea Rais wa Namibia Dar. Hivi sasa zinapigwa nyimbo za taifa ikulu ya Dar. Bila rais kupenda makao yake makuu nani atapenda. Mawaziri makatibu wote saa zote wako Dar es salaam kumfuata Rais wa Jamhuri. Je mabalozi watahamia dodoma?
Je ubalozi zitajengwa dodoma? Balozi bila shaka hazitahamia Dodoma. Hakuna hata ubalozi mmoja umehamia dodoma hadi sasa. Wanapewa viwanja ila huko mbeleni sijui itakuaje.
Kuna mengi ningesema ila ngoja niendelee kukodoa macho tu.
Nairobi kuna bahari?Yaani US embassy ihamie sijui Mtumba ama Ihumwa uliona wapi wakimbie bahari hakuna hio kitu pale Drive Inn ni base tosha huwatoi pale bahari ipo karibu uwapeleke Dom kwanza hiyo bajeti hawana tukilazimisha wanaondoa baadhi ya shughuli za ubalozi wanapeleka Nairobi unabaki ubalozi mdgo. Tunavyofanya mambo kiholela tunafikiri wote wapo hivyo
Hapana ila kumbuka wenzetu walishaweka miundombinu ya mji wao mkuu toka kitambo hicho na taasisi lukuki za kimataifa makao yao makuu yapo pale ukizingatia kwa ukanda wetu wako na military base yao pale Mombasa. Leo hii uwahamishe kwenda Dom binafsi sioni likitokea zaidi ya hayo nilioeleza kwenye uzi wa awali.Nairobi kuna bahari?
Pupa zake tu alikosea vingiMagufuli alikosea alitakiwa kuvunja ikulu ya dar kwa greda ageacha ameibomoa na kuacha kiwanja wazi kama open space
Hata Dar kwenyewe anakuja mara moja moja muda mwingi yuko Tunguu. Jopo la waganga wake wamemshauri asilale kabisa huku Tanganyika akija lazima arudi Tunguu kabla jua halizajazama.Tumshukuru Magufuli kwa kutimiza kuhamisha makao makuu ya Taifa Dodoma kufuatana na uamuzi wa baba wa taifa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Karibu Marais wote waliyofuata hasa waswahili wa pwani hawakulipendelea suala la kuhamisha makao makuu kwenda dodoma.
Baada ya Nyerere, Mwinyi hakutoa kipaombele kabisa kuhamia Dodoma. Kikwete yeye alijikuta akisema wazi wapwani hawataki kuhamisha mji mkuu. Mama samia mswahili wa pwani bahati yake mbaya kakuta mji mkuu ushahamishwa lakini kila dalili inaonyesha anafurukuta kuhujumu.
Mwenyewe hakai wala kufanyia kazi Dodoma. Kila shughuli ya Rais anafanyia Dar es salaam. Iwe ni kupokea mabalozi, kuapisha viongozi, kutangaza teuzi, kupokea marais wageni nchini iwe kukutana baraza la mawaziri yote anafanyia Dar es salaam.
Leo hii naandika anapokea Rais wa Namibia Dar. Hivi sasa zinapigwa nyimbo za taifa ikulu ya Dar. Bila rais kupenda makao yake makuu nani atapenda. Mawaziri makatibu wote saa zote wako Dar es salaam kumfuata Rais wa Jamhuri. Je mabalozi watahamia dodoma?
Je ubalozi zitajengwa dodoma? Balozi bila shaka hazitahamia Dodoma. Hakuna hata ubalozi mmoja umehamia dodoma hadi sasa. Wanapewa viwanja ila huko mbeleni sijui itakuaje.
Kuna mengi ningesema ila ngoja niendelee kukodoa macho tu.
Nakazia
Duh,muda mwingi yuko Tunguu. Jopo la waganga wake wamemshauri asilale kabisa huku Tanganyika akija lazima arudi Tunguu kabla jua halizajazama.
Nakukimbusha ya kuwa wakoloni UK walipoendeleza Nairobi kuwa mji wa kutulipa biashara na hayimae Nini mombasa na costal strip yote ilikuwa siyo sehemu ya Kenya.ilikiwa ni part ya znz. Ilihamia Kenya baada ya uhuru. Na wanapata uhuru Kenya Nairobi tayari ni dominating city in east and central Africa. Ni kosa la Sarungi kutokupa elimu kwanza then akuamrishe ku postNairobi kuna bahari?
Historia uliyoandika hapa haina uhusiano na neno bahari ulilotaja hapo nyuma.Nakukimbusha ya kuwa wakoloni UK walipoendeleza Nairobi kuwa mji wa kutulipa biashara na hayimae Nini mombasa na costal strip yote ilikuwa siyo sehemu ya Kenya.ilikiwa ni part ya znz. Ilihamia Kenya baada ya uhuru. Na wanapata uhuru Kenya Nairobi tayari ni dominating city in east and central Africa. Ni kosa la Sarungi kutokupa elimu kwanza then akuamrishe ku post