Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Je nani alikuwa mwenyekiti wa kwanza na mwanzilishi wa CHADEMA?
Je Mbowe alivyomaliza sekondari alienda kufanya kazi BoT kama bank office kwa qualification gani?
Umeajiri nani akufanyie research hapa?
Je nani alikuwa mwenyekiti wa kwanza na mwanzilishi wa CHADEMA? - Edwin Mtei
Je Mbowe alivyomaliza sekondari alienda kufanya kazi BoT kama bank office kwa qualification gani? - Ofisini kwa baba mkwe.
wewe tatizo lako ndio hilo..umeshupalia ushabiki wa Chadema na sio maslai ya wanajamii. Research ni kwa faida yako!
Umeajiri nani akufanyie research hapa?
fanya research na usianze vilio hapa kama mtoto ... ukishindwa unaweza kwenda darhotwire!
Mwafrika WK, una dhambi. LOL!
Jamaa kakukimbia kule kwenye thread yake ya kukandya upinzani kwa kutumia website ya CUF umemfuata huku? LOL!
E bwana mwachie huyo! Ha ha ha!
Nakumbuka siku za shule baada ya kuamuliwa bifu. Mngeambiwa, Zemarcopolo rudi nyumbani, MFWK nenda darasani! LOL!
hapa marekani kuna msemo wa kuwa grounded au kwenda detentention room.
Naona kuna mtu anatakiwa kuwa detention right now... lol
Kitendo cha edwin Mtei kukikabidhi chama cha CHADEMA kwa mkwe wake ni ufisadi.
Hivyo basi CHADEMA ni chama cha mafisadi, Kimeanzishwa na fisadi na kinaongozwa na fisadi.
na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
Je nani alikuwa mwenyekiti wa kwanza na mwanzilishi wa CHADEMA? - Edwin Mtei
Je Mbowe alivyomaliza sekondari alienda kufanya kazi BoT kama bank office kwa qualification gani? - Ofisini kwa baba mkwe.
wewe tatizo lako ndio hilo..umeshupalia ushabiki wa Chadema na sio maslai ya wanajamii. Research ni kwa faida yako!
Kitendo cha edwin Mtei kukikabidhi chama cha CHADEMA kwa mkwe wake ni ufisadi.
Hivyo basi CHADEMA ni chama cha mafisadi, Kimeanzishwa na fisadi na kinaongozwa na fisadi.
ebu nyie mlioko huko marekani mniambie ni saa ngapi niangalie live obama akitangazwa kuwa mgombea wa democrats. manake nataka niangalie live. labda obama anaweza kubadilisha siasa za afrika kutoka umimi wa kichama hadi utaifa wetu. alivyikuja kenya hakusita kumkoromea babu kibaki.
marekani
next...
nilisemahapo awali kwamba msingi wa chadema ni sawa sawa na tetemeko la ardhi ! waanzilishi hadi waendelezaji wote yebo yebo bila kusahau wadandiaji pia nao wote yebo yebo !