KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Wewe umeshaingia kasumba..over
mtambo huo !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeshaingia kasumba..over
inaoneka ccm kivukoni siku hizi wameishiwa.... yaani na mapesa yote ya wizi this is all ccm can afford?
Ouuch.. girl you need to stop... Ina maana Chuo Kikuu cha Sayansi ya Jamii au kile cha zamani cha Propaganda?
Members Profile >> MP CV Mbowe , Freeman A.
GENERAL
ID No.:
MEMBER'S PICTURE
![]()
First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Office Fax: 2112538
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 15 Oct 2005
End Date: 30 August 2005
Date of Birth :
EDUCATION:
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL
CERTIFICATIONS:
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY:
Bank of Tanzania Bank Officer - -
POLITICAL EXPERIENCE
No items on list
PUBLICATIONS:
No items on list
SPECIAL SKILLS:
No items on list
Cha propaganda,
Wakati nikisoma shule ya msingi, kuna walimu walikuwa wawili waliopitia chuo cha kivukoni walikuwa wanatufundisha siasa na historia. Hawa walijua siasa, walijua cha kusema kuhusu ccm, walijua kumtetea mwinyi kwa yote aliyofanya.
Siku hizi watetezi wa ccm hapa wanachoweza kuleta ni picha za mbowe, mara eti dr slaa ana mke wa pili, mara sijui mbowe kanunua gari ya wizi. Yaani hakuna mtu anayeweza kusimamia sera za ccm au chochote kinachofanyika hata kama ni kudanganya?
No wonder nasema ccm kivukoni (kwenye propaganda) wameishiwa.
CV ya Mbowe
http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2000-2005&fpkey=261&vusername=GUEST")
- Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?
Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa? Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six? Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?
Hizi hadithi zako does not change the fact, wewe ndio unayeleta propaganda za Chadema hapa.
hii ni udaku .....
next....
Hizi hadithi zako does not change the fact, wewe ndio unayeleta propaganda za Chadema hapa.
kusaini mkataba mbovu wa Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, IPTL, Bulyanhulu, na kununua rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na kupelekea ukosefu wa huduma muhimu nchini kwa watanzania - wana ccm
Naomba niseme kweli, kwa kweli mwk huwa siachi kusoma kila comment yaso na huwa unanifurahisha sana mojawapo ni pamija jibu hilo hapo juu, dada uko juu sana, keep it up
...
Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?
Wewe hata kabla hujaanza kuleta chuki zako za kidini hapa dhidi ya wakristo ngoja nikuweke kwenye spare for now.
wangapi walisema cuf chama cha waislamu humu ! acha unafiki !
Wewe hata kabla hujaanza kuleta chuki zako za kidini hapa dhidi ya wakristo ngoja nikuweke kwenye spare for now.
Inabidi uwaleta majina yao na quotes zao hapa ili waumbuliwe.
nimekuwa nani yako nikufanyie hiyo kazi ? 'mbaf !
maneno kama haya nia ni kufungiwa kisha uanze kulialia kuwa unaonewa?
Hapa mafisadi wa ccm mpaka wakome. Ufisadi haukatishi hapa! Asante kwa support yako.