Kama mama yako hajitambui basi lawama zote apewe baba yako

Kama mama yako hajitambui basi lawama zote apewe baba yako

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua.

Ukweli mchungu wahuni nao wanakuwa wazazi kahaba, kibaka nao watoto inapotokea wewe mtoto ukakuta mama Yako ni kahaba basi lawama zote apewe dingi wako kwa nini alisababisha kahaba kuitwa mama the same ukikuta baba Yako ni kibaka basi lawama zote mpe mother wako kwa kukubali kumzalia kibaka.

Ikatokea wazazi wako wote wanachangamoto kwa maana baba kibaka na mama kahaba basi mrudie mungu kwa kumuuliza umemkosea nini ikibidi uombe na msamaha.
 
Back
Top Bottom