PreGE2025 Kama Mambo yangekua Fair Play naimani Watanzania wengi wangepiga Kura uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,071
Naimani Watanzania wengi wangepiga Kura, ila Uchaguzi huu, 2025.

Watakao Piga Kura Wengi ni CCM.

Mimi Sina Chama na sijawai Kupiga Kura toka nazaliwa kwa Sababu zangu Binafsi tu.

Na Kingine Kwa Mtazamo wangu mbona Kama Government inatumia Nguvu Nyingi Kuwaaminisha watu kua usahihi wa walioko madarakani, pia Nguvu ya Dola inatumima Ndivyo sivyo, kwa Raia Ili Kufifisha Upinzani au kutumia Nguvu ya Dola kuwapa Watu wasi wasi kua hakitakiwi Chama kingine zaidi ya Chama Tawala.

Kwa Mtazamo wangu nilizani Vyombo vya Ulinzi na Usalama viko kwa Kutazama usalama Nchi zaidi kuliko Matakwa ya Chama Fulani au Kutenda kwa manufaa ya mtu Fulani au Chama.

Vyombo vya Usalama Kua 100% kwa masilai ya Nchi na sio Kutazama Maslai mapana ya Kikundi au Chama Fulani kua ndio kina stahili kushika Dora,

Pia Kuna Takiwa kua na Nguvu ya Jeshi, Sasa Mi kwa mtazamo wangu, naona kama wanasiasa Wamekua na NGUVU kubwa sana.
1.Jeshi
2.Mahakama

Mamlaka yao yanapomezwa na Wanasiasa au wanasiasa wanapowatumia kwa Maslai yao wananchi wa kawaida, wasiofungana na Chama chochote wanaona Uchaguzi sio Jambo la Muhimu, mtu anaona Bora akatazame mpira ila sio kwenda kuiga kura.

Matokeo ya wananchi kupuuzia Uchanguzi, Katika Vituo kutakua na watu wachache pia wananchi walio Wengi wanatawaliwa kwa Nguvu ya mtutu sio Ridhaa ya wananchi.

Ukitaka Kuamini hilo Watu wanakua Hawana mapenzi na Viongozi wao ila wanakua waoga kutokana na Nguvu ya mtutu au Nguvu ya Dola.

Kwa Upande wa Chama Tawala huo ni Mtaji kwao kwa ananchi kua wao ni Faida kwao, maana ushindi wanaupata kiulani TU.

Kwa Mtanzania wa kawaida wa kipato cha chini walio wengi hawaoni Faida ya Uchaguzi.

Tembea Mtaani sikia kauli zao ndo utajua, ila kwa mtania ambae Yuko cham Tawala nae utasikia maoni yake.
Ila kwa Upande wangu Mimi Natamani zaidi Fair Play katika Uchaguzi, Ili aliechaguliwa na wananchi ndo apate kua kiongozi sio kufanyiana Figisu.
 
Ikiwa fair play atatoboa? Halafu watoto, wakwe au kule Kizimkazi itakuwaje?

Kipaumbele chake ni kubakia madarakani kwa namna yoyote.

Gow2G3oWEAA1-Ip.jpeg

Ukikuta hiyo team imeongezwa marupurupu Kwa ajili ya hilo wala usishangae.
 
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na sura ya ajabu kama mambo yataendelea hivi. Ni uchaguzi wa ccm kujipigia kura wenyewe, machawa na wapuuzi wengine. Vile vyama vya kipuuzi vitasindikiza tu kama fisi amfuataye simba nyuma akitumai simba atapata windo kubwa ale ashibe amuachie na fisi makombo ajikombe. Vyama vya kinafiki vinaingia kwenye uchaguzi uliokataliwa na wananchi wengi kwa lengo la kupata ruzuku kiduchu kama vitaachiwa wabunge wawili watatu wa kuzugia kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki
 
Back
Top Bottom