🤣🤣🤣🤣🤣Baridi safi basi kamanda
Najua atakuwa malaya wako tu huyo
Kuna mwanangu alikuaga anabugia sana mapombe na kula pisi kali, akipata mshahara haukai wiki umekata halafu anaishi kama digidigi... Alikua anakuja kwangu kulia lia shida, nikampa conditions awe ananipa ATM card yake halafu mm namkopesha kwa riba, mshahara ukitoka nachomoa ela yangu namrudishia ATM card yake... Nilinufaika sana na kale kautaratibu mpaka alipohama ule mkoa!!!Hasa ndugu huoni njia nyepesi io ya wewe kufanikiwa zaidi, tumia wajinga ambao hawana nidhamu na pesa zao kukuza kipato chako, unataka zari gani la mentali.
Akili kichwani ndugu
Umuhimu gani. Maisha kila mtu anaishi anavyotaka. Liberal life MzeeUsijipe sana umuhimu kwene maisha ya watu
We jamaa unatumia madhaifu ya wenzako kujinufaisha binafsi?Kuna mwanangu alikuaga anabugia sana mapombe na kula pisi kali, akipata mshahara haukai wiki umekata halafu anaishi kama digidigi... Alikua anakuja kwangu kulia lia shida, nikampa conditions awe ananipa ATM card yake halafu mm namkopesha kwa riba, mshahara ukitoka nachomoa ela yangu namrudishia ATM card yake... Nilinufaika sana na kale kautaratibu mpaka alipohama ule mkoa!!!
🤣🤣🤣how?Hasa ndugu huoni njia nyepesi io ya wewe kufanikiwa zaidi, tumia wajinga ambao hawana nidhamu na pesa zao kukuza kipato chako, unataka zari gani la mentali.
Akili kichwani ndugu
Shida hana kwa sababu pesa ya kutosha tu anapata. Ila kiutu uzima huwezi kuanza kumfundisha mtu namna ya kutumia pesa akikutukana utasemaje? Pesa anapata kwa jasho lake.Kama ni mwanamke anataka hela ya kodi wewe mpe tu baraka zitakuja huwezi juwa anapitia yapi usiyoyajuwa.
Huo ndo ushikaji mzuri wa kumsaidia wakati wa shida.😉
Ni wa hapa na pale. Sio woote hapa ni mfano tu. KujifunzaMzee baba una washikaji wa namna gani hao?
Jitenge nao
🤣🤣🤣🤣asante umeniokoaHahah we jamaa, hebu msome tena mwanahisabati...
Jamaa anatupigia stori juu ya washikaji zake walivyo mawaki, wanatumbua pesa halafu wanaishi kama digidigi kwa kuomba hisani ya vitu kama LUKU...
Jamaa ndio anatushauri tuwateme tu wakuda wote wenye uduanzi kama huo
Hela imekuwa ngumu mno.Wanakera hao rafiki,, kuna mmoja alikuja analia kabisa nilivyomkopesha amenipa mgongo kama sijamkopesha kabisa hawana habari hao marafiki,,, jamani hizi pesa tunatafuta kwa jasho na damu
Kwa sasa hivi boro kukosana tu ieleweke tu