Kama mambo yenyewe ndio haya bora niitwe bahili tu...

Nakushauri usiwape hata mia mbovu.

Kuna mwamba sijui anaitwa nani katoa ngoma inaitwa "Siendekezi Ujinga", idownload halafu watumie kwa WhatsApp itawafaa zaidi..
🤣🤣🤣🤣ngoja niwatafute.

Tule bata lakini kwa urefu wa kamba zetu. Hata Mama aliwashauri hivyo baraza lake.🤣
 
Poleni sana, kuna binadamu wao pesa zao chungu ila za wengine tamu...
 
Wewe kama kumsaidia msaidie kama hutaki kausha Bata zake hazikuhusu hapa town
 
sawa
 
Andika vizuri, au kaa utulie then uje utusimulie.😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…