STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Miaka michache nyuma,Wanaume Tulikuwa
Tunalalamika sana vibomu vya kuombwa
vocha,
Vocha ilikuwa gharama inayokera sana na
kuboa maana kila siku iendayo kwa Mungu ni vocha..
Kumbe bora ingebakia Vocha, maana ina
afadhali... Siku hizi, unapigwa mzinga hadi Simu yako inazimika kwanza maana haiamini kilichoandikwa. ..
''Baby naomba laki8 ninunue Samsung Galaxy simu yangu imeibiwa..''
dah, laki8 ni mshahara wa Walinzi 5
wa KK security wenye wake na watoto! ...
Mama zao
wenyewe wanaisikia tu Samsung Galaxy wanajua ni
Aina mpya ya Kitenge cha Wax...
Balaa, hatuhemi, hatujengi ,Love has become Article of
Oenstation, kui- afford ni ngumu, come on DIVAS give us a break