Kama mambo yenyewe ndio haya, wanawake tunaomba mtupe likizo

Kama mambo yenyewe ndio haya, wanawake tunaomba mtupe likizo

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Miaka michache nyuma,Wanaume Tulikuwa
Tunalalamika sana vibomu vya kuombwa
vocha,
Vocha ilikuwa gharama inayokera sana na
kuboa maana kila siku iendayo kwa Mungu ni vocha..
Kumbe bora ingebakia Vocha, maana ina
afadhali... Siku hizi, unapigwa mzinga hadi Simu yako inazimika kwanza maana haiamini kilichoandikwa. ..

''Baby naomba laki8 ninunue Samsung Galaxy simu yangu imeibiwa..''
dah, laki8 ni mshahara wa Walinzi 5
wa KK security wenye wake na watoto! ...
Mama zao
wenyewe wanaisikia tu Samsung Galaxy wanajua ni
Aina mpya ya Kitenge cha Wax...
Balaa, hatuhemi, hatujengi ,Love has become Article of
Oenstation, kui- afford ni ngumu, come on DIVAS give us a break
 
Kuna jinga moja linaniambia nilinunulie keki ya b-day nkaliambia lisijali nalipelekea ngano na mazaga yote lipike lenyewe, daaaah linalia halijui kupika keki. Meliambia lijifunze kwanza alafu mwakani ndo linambie hizo habari
 
Kuna jinga moja linaniambia nilinunulie keki ya b-day nkaliambia lisijali nalipelekea ngano na mazaga yote lipike lenyewe, daaaah linalia halijui kupika keki.

Meliambia lijifunze kwanza alafu mwakani ndo linambie hizo habari
 
Hahaha umemkomoa kinyama hhaha
 
Jana ilikua single mothers leo wapiga mizinga sijui kesho itakuaje wanawake wa jf kaz mnayo na tutawasema tu maana hakuna namna...
 
Back
Top Bottom