Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Ndio kichaka chenu mulicho baki nacho hichi.Barua ilichanwachanwa na kutupwa kwenye dust bin
Kiufupi tu, jana tumemkamata kibonde wetu na tumempa anacho stahili, hayo mengine tulisha yasahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kichaka chenu mulicho baki nacho hichi.Barua ilichanwachanwa na kutupwa kwenye dust bin
Mpira ni makombe na hiyo local match ndizo zinazofanya timu iwe bingwa wa domestic championship. Halafu mpambane msije mkashika nafasi ya tatu maana kikao kilichokaliwa juzi na wajumbe wa kamati ya utendaji CAF wamegoma kufutwa kwa CAFCC wamesema ni bora ifutwe AFL au kuwe na mashindano matatu kuliko kuifuta CAFCC. Kwahiyo pambaneni msije mkaikosa CAFCL msimu ujao.Local mechi haina muasho vipi RUFAA mkuu
Kama mfuatiliaji wa mpira utakuwa unaelewa hiloMechi gani hiyo ya Yanga iliyosawazishiwa dalila zilizozidi?
AMA hajui kusoma au hukusoma Barua ile ambayo nimesema kopi yake inapatikana hapa. Kama una uhakika na unachosema leta Barua hiyo uthibitishe nafasi yako. Elewa kuwa imeandikwa kwa kiingereza, hivyo kama lugha hiyo inakugonga omba utafsriwe kiusahihiAcha uongo YANGA walikata RUFAA kutaka GOLI la AZIZ likubaliwe lakini kwa akili ndogo hawakujua lile GOLI halikuwa Goli na pili ile Timu ni timu kubwa hivyo ilikuwa lazima icheze Nusu Fainal YANGA wakate Rufaa hizi Mechi za Tanzania
Hivi ulisoma barua ya Yanga au unakurupuka tu?. Kasome tena au lugha imekupita kando?Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa.
Lakini jana Mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali umechezwa kati ya Mamelodi vs Esperance.
Je kwa Mchezo huo kuchezwa nini hatma ya rufaa ya Yanga? Au Yanga watakata tena rufaa FIFA?
Binafsi nawashauri Yanga wakate rufaa FIFA.
Rufani insyobadili matokeo ni ile inaihusu timu moja kwa moja na ikathibitisha tuhuma hizo.Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa.
Lakini jana Mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali umechezwa kati ya Mamelodi vs Esperance.
Je kwa Mchezo huo kuchezwa nini hatma ya rufaa ya Yanga? Au Yanga watakata tena rufaa FIFA?
Binafsi nawashauri Yanga wakate rufaa FIFA.
MimiKama mfuatiliaji wa mpira utakuwa unaelewa hilo
Nadhani hiyo mechi Itakuwa ni ya msimu Jana 2022/2023 Real Bamako vs Yanga. Jamaa walisawazisha KWA kona. Ilikuwa dkk zimeongezwa. Sikumbuki kama goli lilifungwa nje ya zilizoongezwa,wanaokumbuka watukumbushe.Kama mfuatiliaji wa mpira utakuwa unaelewa hilo
Kona yenyewe ilitokea dakikaMimi
Nadhani hiyo mechi Itakuwa ni ya msimu Jana 2022/2023 Real Bamako vs Yanga. Jamaa walisawazisha KWA kona. Ilikuwa dkk zimeongezwa. Sikumbuki kama goli lilifungwa nje ya zilizoongezwa,wanaokumbuka watukumbushe.
Ila hata kama ingekuwa ni kwenye dkk za ziada baada ya rasmi za nyongeza.
Mfano Jana Yanga vs Simba ziliongezwa 5 dkk ya 90. Ila mpira ulienda mpaka ya 90+7. Na ni KWA sababu dkk kama mbili hivi mpira ulisimama ndani ya hizo 5 za nyongeza kea hiyo ni lazima zifidiwe.
Dkk ya 90+6 Simba ilikosa kufunga hilo iwe 2-2 hapo hapo Yanga ikaenda kukosa kuwa 3-1. Hata magoli yangeingia kisheria ingekuwa sawa ila mashabiki wangelalamika
Wewe kweli KICHWA MAJI!Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa.
Lakini jana Mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali umechezwa kati ya Mamelodi vs Esperance.
Je kwa Mchezo huo kuchezwa nini hatma ya rufaa ya Yanga? Au Yanga watakata tena rufaa FIFA?
Binafsi nawashauri Yanga wakate rufaa FIFA.
Hukuielewa barua ya Yanga. Isome tena.Acha uongo YANGA walikata RUFAA kutaka GOLI la AZIZ likubaliwe lakini kwa akili ndogo hawakujua lile GOLI halikuwa Goli na pili ile Timu ni timu kubwa hivyo ilikuwa lazima icheze Nusu Fainal YANGA wakate Rufaa hizi Mechi za Tanzania
Hukuielewa barua ya Yanga. Isome tena.Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa.
Lakini jana Mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali umechezwa kati ya Mamelodi vs Esperance.
Je kwa Mchezo huo kuchezwa nini hatma ya rufaa ya Yanga? Au Yanga watakata tena rufaa FIFA?
Binafsi nawashauri Yanga wakate rufaa FIFA.
GKona yenyewe ilitokea dakika
Goli la Yanga dkk 60Kona yenyewe ilitokea dakika