Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

weka namba hapa tubishane nazo.
Ngoja niweke namba za msimamo wa ligi

Msimamo.jpg
 
Hilo lipo wazi
Kwa kifupi simba hana kikosi cha kucheza na Yanga..fikiria

Chama nje
Morrison nje
Sakho nje
Kanoute nje
Mugalu nje

Hapo ndipo ilipo nguvu ya ushindi ya simba...
Hawa ndg tunaenda kuwalarua Fa
 
Hilo lipo wazi
Kwa kifupi simba hana kikosi cha kucheza na Yanga..fikiria

Chama nje
Morrison nje
Sakho nje
Kanoute nje
Mugalu nje

Hapo ndipo ilipo nguvu ya ushindi ya simba...
Hawa ndg tunaenda kuwalarua Fa

Sasa kama hao wote nje ulishindwaje sasa kuwafunga
 
90 mins no shot on target[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
na nyie kikosi chenu Cha ushindi si kilikuwa chote uwanjani
MMESHINDA?
Hilo lipo wazi
Kwa kifupi simba hana kikosi cha kucheza na Yanga..fikiria

Chama nje
Morrison nje
Sakho nje
Kanoute nje
Mugalu nje

Hapo ndipo ilipo nguvu ya ushindi ya simba...
Hawa ndg tunaenda kuwalarua Fa
 
Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
😂😂😂 wachina wamerahisisha sana uchambuzi wa soka. Mtu akimiliki Tecno tu tayari mchambuzi. Hongera mchina kwa kutuonyesha vipaji vilivyojificha Afrika kama madereva 😂😂😂. Madereva wa bodaboda.
 
Back
Top Bottom