Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

Achana na wachambuzi vilaza. Hajui kuwa beki ni sehemu ya mchezo na anakuwa ameisadia timu kwa kiasi kikubwa.
Sasa beki asipozuwia kufungwa anapataje kuwa man of the match?
Hatari ilikuwa kubwa
 
Man u si aishawahi kumpiga liverpool 3 mtungi bado man of ze mechi akawa de gea..

Ila kiukweli wanangu wa utopoloni mko vizuri, jana mliumwaga mwingi saana, pongezi kwenu, mkijiongeza kidogo tu msimu ujao naimani mtafanya vizuri kimataifa.
 
Back
Top Bottom