Kama Man united tukifungwa na Bunley leo naacha kushabikia mpira msimu huu :Man United 0 Bunley 2 Kipindi cha kwanza

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595


Na kwa jinsi navyowafahamu Bunley sioni uwezekano wa kuwafunga mbili

Hii inaweza nifanya nikaacha kushabikia mpira msimu huu mpaka msimu ujao


Mou Ni kocha mwenye mbinu za kizamani katika ulimwengu wa soka la kisasa.

===========
Naweza stafu Soka msimu huu tu.

Maoni kutoka page Manchester United












UPADTE

Mechi imeisha na man u tumetoka draw n Bunley Hivyo nimejivua rasmi kuishabikia Man United msimu huu wa 2017/18 kutokana na sababu zilizo nje ya moyo wangu.

Tukutane Msimu wa 2018/19,tuombe uzima.

Deadbody
 
Mourinho anaamini mpira ule wa International milan utafua dafu kipindi hiki.
 
Mi nimebana pum.bu hapa matokeo yazidi kuwa hivyo hivyo ili niendelee kunywa balimi.
Naipenda Man U ila leo nimeisaliti kwa sababu ya pesa
Hahaaaa, hivi kwenye hiyo issue ya kushikilia, wanawake wanashika nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…