Kama Marefa wataacha kutuharibia Team Yanga tunaweza kuwa na Team nzuri

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nimeumia sana kwa kitendo cha jana. Pamoja na Simba kutokuwa na washambuliaji wao Mahiri bado wanafunga ktk wakati ambao tuliamini tumeshinda.

Mimi ni Mwanayanga ambaye huwa siumi umi maneno. Jana Simba wameshinda 1-0 ukiondoa lile bao la penalty ambalo tulipewa.

Najua wanayanga wenzangu hamtapenda kusikia hili na mtaniita majina yote mabaya. Hakukuwa na penalty pale.ni ile ile michezo yetu ya kila siku ya kutegemea waamuzi watusaidie.

Hii inadumaza sana mpira wetu. Na inaumiza. Tukiendelea hivi itakuwa haina haja ya kwenda kuwapokea akina kisinda. Tuwe tunasajili marefa tu team ipate ushindi.

Tungeendelea kuwa press simba jana tungeshinda. Ilikuaje tukarudi ku defend? Hapo tulikosea sana.

Tuanzeni kucheza mpira tuachane na hayo makando kando hayatusaidii kabisa kimpira.
 
Ile sare ya msimu uliopita Yanga nae alishinda 2-1, kwasababu ya penalty ya Kagere?.
 
Wewe ni mikia!
 
Mechi ya jana Simba ilishinda 1-0...!
Sentensi kama hii haiwezi kuandikwa na mtu anayejua mpira. Kwa mwandiko huo tu wewe ni mbumbumbu wa soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…